Andrea Pirlo atatimuliwa kazi Juventus muda wowote kuanzia sasa

Andrea Pirlo atatimuliwa kazi Juventus muda wowote kuanzia sasa

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Ripoti kutoka Italy zinasema kocha wa timu ya Juventus na staa wa zamani wa timu hiyo, Andrea Pirlo atatimuliwa kazi muda wowote kuanzia sasa!

Klabu hiyo imekuwa na matokeo mabaya msimu huu huku wakimaliza nafasi ya 4 katika Serie A.

massimiliano Allegri kocha wa zamani wa timu hiyo anatajwa kurejea kuinoa timu hiyo yenye mafanikio zaidi katika soka la Italy.

Tuendelee kufatilia tujue nini kitajiri.
 
Pirlo pamoja na kuwa mchezaji mzuri na bora kwenye ukocha kafail kabisa. Kaanza vibaya, na hatafanikiwa kuwa kocha mzuri sababu kikosi alichokuwa nacho kilikuwa bora kuliko vikosi vya timu nyingine.

Ajiandae kucoach vilabu vya kawaida kama fiorentina, verona, genoa nk.

Hawezi kupata timu zinazotafuta ubingwa.
 
Pirlo ni kama Lampard kwenye ukocha, waliwahi kuliko muda wao kufundisha timu kubwa
 
Back
Top Bottom