Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

Mafanikio kwa wizi? Yani kuhujumu taifa we unaita mafanikio?

Hii tabia ya ubinafsi wa namna hii watanzania tumeitoa wapi jamani, yani wagonjwa wafe kwa kukosa madawa ili wewe utanue na malaya kwa hela ambayo ingewasaidia walioko hospitali?
Kuna wengine watu maneno yanatokeo tumboni, wala siyo kumkichwa. So, ni kawaida kwa enzi hizi za chanjo za J & J kuwapata watu wa sampuli hiyo.
 
Ana CV Nzuri ila sio mwadilifu hata kidigo
 
Hivi huyu si ndio Chenge aliwagonga wasichana wawili akawaua walikua kwa bajaj pale Oysterbay??? na hakua na insurance??? kweli mwenye pesa sio mwenzio, hii bongo imelaaniwa wallah laadhim.....HAFAI.
Hapana chenge hajawahi kugonga mtu
 
Mbona unamsifia nusu nusu?! Hebu tupe na wasifu wake kuhusu ESCROW ili tupate kumjua vizuri.
 
Chenge ni mtu safi
Hajawahi kushtakiwa iwata criminal case
 
Ukisikia wanasifia Mama kafungua nchi, unadhani tunasifia nini ..wiziii! Ndio maana tunafurahi mwizi mbobevu awe spika!
Bunge la Magu
Chenge alikuwa mwenyekiti wa sheria ndogo
Unasemaje mwizi mwenyekiti wa bunge ..?
 
Kimsingi Mama unahitaji mtu mwenye busara kama huyu anayeweza kushauri kwa hekima na kuwa upande wa mama
Chenge hajawahi kuwa Msaliti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…