Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,966
Mbona hujatoa wasifu wa Msukuma
Nyie ndio wapambe wa Chenge?
Nyie ndio wapambe wa Chenge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wengine watu maneno yanatokeo tumboni, wala siyo kumkichwa. So, ni kawaida kwa enzi hizi za chanjo za J & J kuwapata watu wa sampuli hiyo.Mafanikio kwa wizi? Yani kuhujumu taifa we unaita mafanikio?
Hii tabia ya ubinafsi wa namna hii watanzania tumeitoa wapi jamani, yani wagonjwa wafe kwa kukosa madawa ili wewe utanue na malaya kwa hela ambayo ingewasaidia walioko hospitali?
Sema kwa hela wanazobutua butua sahizi naona hio 1.5B kama buku tu!Watanzani sasa tumechanganyikiwa yaani mtu na akili yako unampigia debe fisadi mkuu anaye iita 1.5 billion kuwa ni vijisenti!!!
Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho.
WASIFU
KUZALIWA
- Mbobezi wa Sheria Barani Afrika na "Alumni" wa Chuo kikuu bora Duniani- Havard cha Nchini Marekani Mh.Andrew John Chenge alizaliwa mwaka 1947 nchini Tanzania (Tanganyika wakati huo).
ELIMU
- Nguli huyu wa Sheria alianza safari ya kitaaluma katika Shule ya msingi Sasago (Musoma) kati ya mwaka 1955- 1958
- Kisha akajiunga na St. Pius Seminary Makoko Musoma kati ya mwaka 1959-1962
- Kisha akajiunga na St.Mary's Seminary Nyegezi mwanza kati ya mwaka 1963-1966 kwaajili ya masomo ya Sekondari.
- Kati ya mwaka 1967 - 1968 alijiunga na Mkwawa High school.
- Mwaka 1969 alikuwa kati ya wanafunzi wachache waliojiunga na Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwaajili ya masomo ya Sheria (LL.B) na kufanikiwa kuhitimu kwa ufaulu wa juu mwaka 1972.
- Mwaka 1974 - 1975 alibahatika kuwa kati ya wanasheria wachache Duniani kujiunga na Chuo Kikuu cha Havard kwaajili ya Shahada ya uzamili aliyohitimu kwa ufaulu mkubwa.
UTUMISHI NA UZOEFU SERIKALINI
- Kati ya mwaka 1972 - 1990 alihudumu kama mwanasheria wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kati ya mwaka 1990- 1992 alihudumu kama Naibu Mwanasheria Mkuu (D/AG)
- Kati ya mwaka 1993 -2005 alihudumu kama Mwanasheria mkuu wa serikali.
- Mwaka 2006 alihudumu kama Waziri wa Kwanza wa Ushirikiano wa Afrika mashariki
- Kati ya 2006-2008 alihudumu kama Waziri wa miundombinu katika serikali ya awamu ya nne.
UZOEFU KATIKA BUNGE
- Kati ya mwaka 2005 - 2020 alihudumu kama Mbunge wa Jimbo la Bariadi Magharibi
- Kati ya mwaka 2008 - 2010 alihudumu kama mjumbe wa kamati ya Bunge ya Uchumi na Fedha.
- Kati ya mwaka 2012-2013 alihudumu kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uchumi na Fedha
- Kati ya mwaka 2013-2015 alihudumu kama Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti
-Kati ya mwaka 2015- 2020 alihudumu kama Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Sheria na pia kama mmoja wa Wenyeviti 3 wa Bunge.
Kwa mwenye nazo anaiona hiyo kama cha mtoto lkn kwetu sisi kina yakheee ni mlima mrefu sanaSema kwa hela wanazobutua butua sahizi naona hio 1.5B kama buku tu!
Huyu aliwahi kujiita yeye ni joka lenye makengezaMtemi Chenge
He either can see things other people can’t see or he has access into many things that others don’t have.Huyu aliwahi kujiita yeye ni joka lenye makengeza
Hapana chenge hajawahi kugonga mtuHivi huyu si ndio Chenge aliwagonga wasichana wawili akawaua walikua kwa bajaj pale Oysterbay??? na hakua na insurance??? kweli mwenye pesa sio mwenzio, hii bongo imelaaniwa wallah laadhim.....HAFAI.
Ni kweli kabisa hatujui mwenyekiti anaweza niniTunahitaji hii brain kwawale kweli wanania ya dhati na taifa huyu mzee anatufaa sana. Less other issue
Mbona unamsifia nusu nusu?! Hebu tupe na wasifu wake kuhusu ESCROW ili tupate kumjua vizuri.Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho.
WASIFU
KUZALIWA
- Mbobezi wa Sheria Barani Afrika na "Alumni" wa Chuo kikuu bora Duniani- Havard cha Nchini Marekani Mh.Andrew John Chenge alizaliwa mwaka 1947 nchini Tanzania (Tanganyika wakati huo).
ELIMU
- Nguli huyu wa Sheria alianza safari ya kitaaluma katika Shule ya msingi Sasago (Musoma) kati ya mwaka 1955- 1958
- Kisha akajiunga na St. Pius Seminary Makoko Musoma kati ya mwaka 1959-1962
- Kisha akajiunga na St.Mary's Seminary Nyegezi mwanza kati ya mwaka 1963-1966 kwaajili ya masomo ya Sekondari.
- Kati ya mwaka 1967 - 1968 alijiunga na Mkwawa High school.
- Mwaka 1969 alikuwa kati ya wanafunzi wachache waliojiunga na Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwaajili ya masomo ya Sheria (LL.B) na kufanikiwa kuhitimu kwa ufaulu wa juu mwaka 1972.
- Mwaka 1974 - 1975 alibahatika kuwa kati ya wanasheria wachache Duniani kujiunga na Chuo Kikuu cha Havard kwaajili ya Shahada ya uzamili aliyohitimu kwa ufaulu mkubwa.
UTUMISHI NA UZOEFU SERIKALINI
- Kati ya mwaka 1972 - 1990 alihudumu kama mwanasheria wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kati ya mwaka 1990- 1992 alihudumu kama Naibu Mwanasheria Mkuu (D/AG)
- Kati ya mwaka 1993 -2005 alihudumu kama Mwanasheria mkuu wa serikali.
- Mwaka 2006 alihudumu kama Waziri wa Kwanza wa Ushirikiano wa Afrika mashariki
- Kati ya 2006-2008 alihudumu kama Waziri wa miundombinu katika serikali ya awamu ya nne.
UZOEFU KATIKA BUNGE
- Kati ya mwaka 2005 - 2020 alihudumu kama Mbunge wa Jimbo la Bariadi Magharibi
- Kati ya mwaka 2008 - 2010 alihudumu kama mjumbe wa kamati ya Bunge ya Uchumi na Fedha.
- Kati ya mwaka 2012-2013 alihudumu kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uchumi na Fedha
- Kati ya mwaka 2013-2015 alihudumu kama Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti
-Kati ya mwaka 2015- 2020 alihudumu kama Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Sheria na pia kama mmoja wa Wenyeviti 3 wa Bunge.
Alisahau viji cent vyake pale,kabla mipango haikukamilika likaingia buldouzer jizi lisilotumia brain akalipisha.Katika vipaumbele vya joka la makengeza-Mzee Chenge fursa kama hizo hawezi achia.
Fununu zinasemekana alifuatwa na wajanja ili agombee,wanafahamu kuwa nao watafaidi humo humo.
Uzembe wa Ndugai unaenda kuwagharimu Watanzania pakubwa.It's only a matter of time.
Bunge la MaguUkisikia wanasifia Mama kafungua nchi, unadhani tunasifia nini ..wiziii! Ndio maana tunafurahi mwizi mbobevu awe spika!
Kimsingi Mama unahitaji mtu mwenye busara kama huyu anayeweza kushauri kwa hekima na kuwa upande wa mamaKatika hao 30 waliochukua form sioni the right candidate and qualified one zaidi ya mzee wa vijisenti. Huyu hata mama atapiga break kwake, kingine ni muda muafaka wa yeye kujisafisha na kashfa za nyuma zinazomhusu kwa kuruhusu bunge huru na mijadara yenye tija kwa taifa letu.
Eti chadema mnamshauri Rais wa CCMHiki kimeo mh Raisi unabambikiwa, stay alerted
na mimi pia.Siku moja nitakuwa MTEMI kama huyu Mnyantuzu
Tanganyika wakati huo sasa ni Tanzania, visiwa vya Zanzibar vimemezwa ? Au Tanganyika imetanua mipaka ? 😕Tanzania (Tanganyika wakati huo)