sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,612
- 2,156
Ila kanda ya ziwa bado tuna 'watu' bana, hili japo ni jizi tulipe tu nchi ndugu zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna kumbukumbu, huyu mzee alikunywa na hao wanawake wakamtoroka na bajaj akawakimbiza akawagonga pale Oysterbay na kuwaua. Na ikajulikana alikua hana hata insurance!! Huyu mzee hafai hata kwa ugali wa kulumagilia ...Hapana chenge hajawahi kugonga mtu
Ungejua si yeye aliyewagonga! Kama Binadamu alibeba kesi kumsaidia 'mtu'Huna kumbukumbu pimbi wewe, huyu mzee alikunywa na hao wanawake wakamtoroka na bajaj akawakimbiza akawagonga pale Oysterbay na kuwaua. Na ikajulikana alikua hana hata insurance!! Huyu mzee hafai hata kwa ugali wa kulumagilia ...
hana lolote ni uharo mtupu engekuwa ana akili asinge kwenda CCM na wale wale tuHabari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho.
WASIFU
KUZALIWA
- Mbobezi wa Sheria Barani Afrika na "Alumni" wa Chuo kikuu bora Duniani- Havard cha Nchini Marekani Mh.Andrew John Chenge alizaliwa mwaka 1947 nchini Tanzania (Tanganyika wakati huo).
ELIMU
- Nguli huyu wa Sheria alianza safari ya kitaaluma katika Shule ya msingi Sasago (Musoma) kati ya mwaka 1955- 1958
- Kisha akajiunga na St. Pius Seminary Makoko Musoma kati ya mwaka 1959-1962
- Kisha akajiunga na St.Mary's Seminary Nyegezi mwanza kati ya mwaka 1963-1966 kwaajili ya masomo ya Sekondari.
- Kati ya mwaka 1967 - 1968 alijiunga na Mkwawa High school.
- Mwaka 1969 alikuwa kati ya wanafunzi wachache waliojiunga na Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwaajili ya masomo ya Sheria (LL.B) na kufanikiwa kuhitimu kwa ufaulu wa juu mwaka 1972.
- Mwaka 1974 - 1975 alibahatika kuwa kati ya wanasheria wachache Duniani kujiunga na Chuo Kikuu cha Havard kwaajili ya Shahada ya uzamili aliyohitimu kwa ufaulu mkubwa.
UTUMISHI NA UZOEFU SERIKALINI
- Kati ya mwaka 1972 - 1990 alihudumu kama mwanasheria wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kati ya mwaka 1990- 1992 alihudumu kama Naibu Mwanasheria Mkuu (D/AG)
- Kati ya mwaka 1993 -2005 alihudumu kama Mwanasheria mkuu wa serikali.
- Mwaka 2006 alihudumu kama Waziri wa Kwanza wa Ushirikiano wa Afrika mashariki
- Kati ya 2006-2008 alihudumu kama Waziri wa miundombinu katika serikali ya awamu ya nne.
UZOEFU KATIKA BUNGE
- Kati ya mwaka 2005 - 2020 alihudumu kama Mbunge wa Jimbo la Bariadi Magharibi
- Kati ya mwaka 2008 - 2010 alihudumu kama mjumbe wa kamati ya Bunge ya Uchumi na Fedha.
- Kati ya mwaka 2012-2013 alihudumu kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uchumi na Fedha
- Kati ya mwaka 2013-2015 alihudumu kama Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti
-Kati ya mwaka 2015- 2020 alihudumu kama Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Sheria na pia kama mmoja wa Wenyeviti 3 wa Bunge.
Anajua kujifuta mdomo vizuri baada ya kulaHuyu anapiga deal na haachi evidences. Akili nyingi huyu mzee.
Siyo kuwashinda chadema anawashinda ccm woteKama Lissu alivyo na akili nyingi kuwashinda machadema wote
yule jamaa ni kweli kaibomoa angola mana zile vita ilikuwa sio poa,alipewa nafasi kubwa tu serikalini na bado akazinguaDabo ajent ni kifo.
Naona majuzi walipewa ruhusa wauzike kiheshima mzoga wake.
Alitumia vibaya elimu yake kuibomoa Angola
Rais wa sasa ndo kampa heshima ya kumzika.yule jamaa ni kweli kaibomoa angola mana zile vita ilikuwa sio poa,alipewa nafasi kubwa tu serikalini na bado akazingua
😅yah walimuuza maana alipigwa ambush moja hatari, yawezekana mwanzo alizikwa hata bila jeneza mana mwili wake uliwekwa nje unafatwa na nzi watu wauoneRais wa sasa ndo kampa heshima ya kumzika.
Alikuwa dabo ajent anakula USA analala Urusi
USA walipogundua wakamuuza akala bullets za kutosha kuwahi kuzimu akakae na aliowaua
Yah ungeachwa uliwe na fisi😅yah walimuuza maana alipigwa ambush moja hatari, yawezekana mwanzo alizikwa hata bila jeneza mana mwili wake uliwekwa nje unafatwa na nzi watu wauone
Kwa hiyo chadema nyny mtamchagua bwana endrew chenge!!?Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho.
WASIFU
KUZALIWA
- Mbobezi wa Sheria Barani Afrika na "Alumni" wa Chuo kikuu bora Duniani- Havard cha Nchini Marekani Mh.Andrew John Chenge alizaliwa mwaka 1947 nchini Tanzania (Tanganyika wakati huo).
ELIMU
- Nguli huyu wa Sheria alianza safari ya kitaaluma katika Shule ya msingi Sasago (Musoma) kati ya mwaka 1955- 1958
- Kisha akajiunga na St. Pius Seminary Makoko Musoma kati ya mwaka 1959-1962
- Kisha akajiunga na St.Mary's Seminary Nyegezi mwanza kati ya mwaka 1963-1966 kwaajili ya masomo ya Sekondari.
- Kati ya mwaka 1967 - 1968 alijiunga na Mkwawa High school.
- Mwaka 1969 alikuwa kati ya wanafunzi wachache waliojiunga na Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwaajili ya masomo ya Sheria (LL.B) na kufanikiwa kuhitimu kwa ufaulu wa juu mwaka 1972.
- Mwaka 1974 - 1975 alibahatika kuwa kati ya wanasheria wachache Duniani kujiunga na Chuo Kikuu cha Havard kwaajili ya Shahada ya uzamili aliyohitimu kwa ufaulu mkubwa.
UTUMISHI NA UZOEFU SERIKALINI
- Kati ya mwaka 1972 - 1990 alihudumu kama mwanasheria wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kati ya mwaka 1990- 1992 alihudumu kama Naibu Mwanasheria Mkuu (D/AG)
- Kati ya mwaka 1993 -2005 alihudumu kama Mwanasheria mkuu wa serikali.
- Mwaka 2006 alihudumu kama Waziri wa Kwanza wa Ushirikiano wa Afrika mashariki
- Kati ya 2006-2008 alihudumu kama Waziri wa miundombinu katika serikali ya awamu ya nne.
UZOEFU KATIKA BUNGE
- Kati ya mwaka 2005 - 2020 alihudumu kama Mbunge wa Jimbo la Bariadi Magharibi
- Kati ya mwaka 2008 - 2010 alihudumu kama mjumbe wa kamati ya Bunge ya Uchumi na Fedha.
- Kati ya mwaka 2012-2013 alihudumu kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uchumi na Fedha
- Kati ya mwaka 2013-2015 alihudumu kama Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti
-Kati ya mwaka 2015- 2020 alihudumu kama Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Sheria na pia kama mmoja wa Wenyeviti 3 wa Bunge.
hii ni code yake! sasa uishie hapohapo ,unakotaka kuingia sio kwako mkuu!!Mpaka leo bado huwa najiuliza maana ya kujiita joka la makengeza!
Maana yake nini na joka lenye makengeza linafanya nn
kuishi na watz ni raha Sana mkuu.Tunasahau haraka sana. Mtu kama huyu hakutakiwa kuwa uraiani.