Andrew Chenge afika kwenye Kamati ya Katiba, awataka Wajumbe warudi kwenye Rasimu ya Warioba

Andrew Chenge afika kwenye Kamati ya Katiba, awataka Wajumbe warudi kwenye Rasimu ya Warioba

We
Kelele zetu ndo zimebatilisha Ile Ahadi ya ajira ya miaka 9.

Kelele hizo hizo ndo Zitamrudisha Warioba Ili amalizie KAZI.

Tuache Ule ushabiki wa mama vs jiwe, Hauna manufaa yoyote Kwa Taifa letu zaidi ya kutupotezea time.

Amen.
Well said. Kelele zinaokoa sana. Tuache siasa maandazi tupambanie common interest za kitaifa.
 
Wel
Hata mimi naunga mkono maoni yake. Ukisoma Katiba Inayopendekezwa na ile ya Warioba utaona kuna tofauti kubwa kwenye content. Ni wazi Katiba ya sasa imepitwa na wakati na haikidhi matarajio ya Watanzania. Katiba mpya (bora) ndiyo itakayotuvusha kwenye huu mchakato wa kuandika Katiba mpya.
Well said
 
Ulicho
Mzee Chenge , mtu anayeaminika kuwa miongoni mwa wanaccm wachache wenye busara , leo amefika kwenye Kamati ya Rais ya kuratibu maoni ya Katiba mpya na kueleza yaliyo moyoni mwake .

Chenge ambaye pia ni Mwanasheria wa Zamani wa Serikali ya Tanzania hakumung'unya maneno , amewataka wajumbe wa Kamati hiyo kurejea kwenye Rasimu iliyopendekezwa na Wananchi , Amedai ni kweli si rahisi kumzuia Rais wa Nchi kuteua Maofisa wa Serikali , lakini anawateua kwa utaratibu gani ? ni lazima Wateuliwa Waombe nafasi na Wasailiwe , amesema utaratibu huu ndio utakoiletea heshima nchi .

Chanzo : Mwananchi
Kireport na nilichosikia kwenye recorded yake iliyochezwa wasafi fm leo asbh ni vitu viwili tofauti
 
Weka alichosema wasafi
Alisisitiza hatuna haja yakurudi kwenye Rasimu 2 ila tuanze tulipoishia maana huko kwenye Rasimu tulishavuka na sasa tuanze tulipoishia na akasikitishwa na waandishi wa habari kuto kutoa elimu na ufafanuzi wa vifungu vya katiba pendekezwa hasa kwenye magazeti.
 
Back
Top Bottom