Andrew Chenge afika kwenye Kamati ya Katiba, awataka Wajumbe warudi kwenye Rasimu ya Warioba

Mungu anatusikia maombi yetu.

Mzee WARIOBA arudishwe kwenye Tume ya Katiba na AAPISHWE,

Mukandala arudi darasani afundishe.
Amen
Munkandala pale amewekwa tu kufubaza wanazi wa ccm wasiotaka Katiba mpya
 
Akina Zito wanafanya nini sasa hapo?
Kelele zetu ndo zimebatilisha Ile Ahadi ya ajira ya miaka 9.

Kelele hizo hizo ndo Zitamrudisha Warioba Ili amalizie KAZI.

Tuache Ule ushabiki wa mama vs jiwe, Hauna manufaa yoyote Kwa Taifa letu zaidi ya kutupotezea time.

Amen.
 
Mzee Chenge , mtu anayeaminika kuwa miongoni mwa wanaccm wachache wenye busara , leo amefika kwenye Kamati ya Rais ya kuratibu maoni ya Katiba mpya na kueleza yaliyo moyoni mwake .

Chenge ambaye pia ni Mwanasheria wa Zamani wa Serikali ya Tanzania hakumung'unya maneno , amewataka wajumbe wa Kamati hiyo kurejea kwenye Rasimu iliyopendekezwa na Wananchi , Amedai ni kweli si rahisi kumzuia Rais wa Nchi kuteua Maofisa wa Serikali , lakini anawateua kwa utaratibu gani ? ni lazima Wateuliwa Waombe nafasi na Wasailiwe , amesema utaratibu huu ndio utakoiletea heshima nchi .

Chanzo : Mwananchi
Hata mimi naunga mkono maoni yake. Ukisoma Katiba Inayopendekezwa na ile ya Warioba utaona kuna tofauti kubwa kwenye content. Ni wazi Katiba ya sasa imepitwa na wakati na haikidhi matarajio ya Watanzania. Katiba mpya (bora) ndiyo itakayotuvusha kwenye huu mchakato wa kuandika Katiba mpya.
 
Mzee Chenge , mtu anayeaminika kuwa miongoni mwa wanaccm wachache wenye busara , leo amefika kwenye Kamati ya Rais ya kuratibu maoni ya Katiba mpya na kueleza yaliyo moyoni mwake .

Chenge ambaye pia ni Mwanasheria wa Zamani wa Serikali ya Tanzania hakumung'unya maneno , amewataka wajumbe wa Kamati hiyo kurejea kwenye Rasimu iliyopendekezwa na Wananchi , Amedai ni kweli si rahisi kumzuia Rais wa Nchi kuteua Maofisa wa Serikali , lakini anawateua kwa utaratibu gani ? ni lazima Wateuliwa Waombe nafasi na Wasailiwe , amesema utaratibu huu ndio utakoiletea heshima nchi .

Chanzo : Mwananchi
Ni jambo zuri.
 
16532937780160.jpg
 
Mh Judge Warioba ktk mahojiano yake Azam Tv baada ya CCM kuridhia mchakato alisema:

1. Rasimu waliyoandaa Bado IPO.

2. Katiba pendekeza IPO.

Ameshauri hakuna haja ya kuanza upya kukusanya maoni. Wananchi waseme wapi pa kuanzia.

Huyu Mzee WARIOBA arudishwe pale amalizie KAZI aliyoianza. MSIMTAABISHE.

Ameeen
 
Back
Top Bottom