Andrew Chenge afika kwenye Kamati ya Katiba, awataka Wajumbe warudi kwenye Rasimu ya Warioba

We
Kelele zetu ndo zimebatilisha Ile Ahadi ya ajira ya miaka 9.

Kelele hizo hizo ndo Zitamrudisha Warioba Ili amalizie KAZI.

Tuache Ule ushabiki wa mama vs jiwe, Hauna manufaa yoyote Kwa Taifa letu zaidi ya kutupotezea time.

Amen.
Well said. Kelele zinaokoa sana. Tuache siasa maandazi tupambanie common interest za kitaifa.
 
Wel
Well said
 
Ulicho
Kireport na nilichosikia kwenye recorded yake iliyochezwa wasafi fm leo asbh ni vitu viwili tofauti
 
Weka alichosema wasafi
Alisisitiza hatuna haja yakurudi kwenye Rasimu 2 ila tuanze tulipoishia maana huko kwenye Rasimu tulishavuka na sasa tuanze tulipoishia na akasikitishwa na waandishi wa habari kuto kutoa elimu na ufafanuzi wa vifungu vya katiba pendekezwa hasa kwenye magazeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…