Andrew Nyerere alimuogopa Nyerere kuliko Polisi

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Andrew Nyerere ile miaka ya 1990s akiwa kijana wa ku party kwenye clubs, alikuwa akifanya fujo halafu police wakianza kumtafuta alikuwa anakwenda nyumbani kwa RPC wa Dar miaka ile yaani RPC Tryphon Maji pale A. H. Mwinyi Rd jirani na Kaunda Drive. Basi police wanakuwa wa pole tu.

Aliona vema aende polisi kujisalimisha kuliko Kwenda kwa mwalimu 😁

Ameandika. comanchechiefIV

Britanicca
IMG_6930.jpeg
 
View attachment 3482833
Je huyu ni tofauti na yule aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Musoma vijijini
 
Andrew Nyerere ile miaka ya 1990s akiwa kijana wa ku party kwenye clubs, alikuwa akifanya fujo halafu police wakianza kumtafuta alikuwa anakwenda nyumbani kwa RPC wa Dar miaka ile yaani RPC Tryphon Maji pale A. H. Mwinyi Rd jirani na Kaunda Drive. Basi police wanakuwa wa pole tu.

Aliona vema aende polisi kujisalimisha kuliko Kwenda kwa mwalimu 😁

Ameandika. comanchechiefIV

Britanicca
View attachment 3482833
Labda ungesema miaka ya 70 au 80. Hii 90 ni juzijuzi hapo
 
Andrew Nyerere ile miaka ya 1990s akiwa kijana wa ku party kwenye clubs, alikuwa akifanya fujo halafu police wakianza kumtafuta alikuwa anakwenda nyumbani kwa RPC wa Dar miaka ile yaani RPC Tryphon Maji pale A. H. Mwinyi Rd jirani na Kaunda Drive. Basi police wanakuwa wa pole tu.

Aliona vema aende polisi kujisalimisha kuliko Kwenda kwa mwalimu 😁

Ameandika. comanchechiefIV

Britanicca
View attachment 3482833
Poppy Hatonn eti kuna ukweli?
 
..usitaje miaka utajifunua.

..Na Tryphon Maji ni Rpc enzi za Mwinyi mwishoni.
 
Andrew Nyerere ile miaka ya 1990s akiwa kijana wa ku party kwenye clubs, alikuwa akifanya fujo halafu police wakianza kumtafuta alikuwa anakwenda nyumbani kwa RPC wa Dar miaka ile yaani RPC Tryphon Maji pale A. H. Mwinyi Rd jirani na Kaunda Drive. Basi police wanakuwa wa pole tu.

Aliona vema aende polisi kujisalimisha kuliko Kwenda kwa mwalimu 😁

Ameandika. comanchechiefIV

Britanicca
View attachment 3482833
Mwaka 1977 anaendesha ndege ya kivita, miaka ya 90 acheze disco halafu amuogope baba yake. Miaka mingapi huyo wakati huo amuogope baba yake?
 
Back
Top Bottom