Andrew Nyerere alimuogopa Nyerere kuliko Polisi

Andrew Nyerere alimuogopa Nyerere kuliko Polisi

Quite right. Wewe umemkamata uongo. Disco nilikuwa nacheza miaka ya sabini nilipokuwa junior officer in the army.
Baada ya kutoka Jeshi nimekuwa rebel mentality; Malcom x - black- panther mentality. Nisingeweza kulala katika nyumba ya polisi.

..umefanya jambo la maana kuelezea kukataa kwako udhalimu unaoendelea hapa nchini.
 
Andrew Nyerere ile miaka ya 1990s akiwa kijana wa ku party kwenye clubs, alikuwa akifanya fujo halafu police wakianza kumtafuta alikuwa anakwenda nyumbani kwa RPC wa Dar miaka ile yaani RPC Tryphon Maji pale A. H. Mwinyi Rd jirani na Kaunda Drive. Basi police wanakuwa wa pole tu.

Aliona vema aende polisi kujisalimisha kuliko Kwenda kwa mwalimu 😁

Ameandika. comanchechiefIV

Britanicca
View attachment 3482833
Baba ni arresting officer, prosecutor na judge kwa wakati mmoja. Utachomokaje?
 
..usitaje miaka utajifunua.

..Na Tryphon Maji ni Rpc enzi za Mwinyi mwishoni.
Sijui kwa nini mkuu 'Britanicca' kaamua mwenyewe kuweka habari ya uongo hapa jukwaani; tena wakati kama huu tuliomo sasa!
Wakati huu kweli kunaweza kulosekana mada za kusisimua kuhusu ukombozi wa hii nchi?
 
..labda ameteleza tu, alitaka kumzungumzia Tryphon Maji akiwa mkuu wa kituo, ocd, au rco, enzi za Juliasi. Tusiwe na haraka kumhukumu britanicca .
 
Back
Top Bottom