britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Je huyu ni tofauti na yule aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Musoma vijijiniAndrew Nyerere ile miaka ya 1990s akiwa kijana wa ku party kwenye clubs, alikuwa akifanya fujo halafu police wakianza kumtafuta alikuwa anakwenda nyumbani kwa RPC wa Dar miaka ile yaani RPC Tryphon Maji pale A. H. Mwinyi Rd jirani na Kaunda Drive. Basi police wanakuwa wa pole tu.
Aliona vema aende polisi kujisalimisha kuliko Kwenda kwa mwalimu 😁
Ameandika. comanchechiefIV
Britanicca
View attachment 3482833
Labda ungesema miaka ya 70 au 80. Hii 90 ni juzijuzi hapoAndrew Nyerere ile miaka ya 1990s akiwa kijana wa ku party kwenye clubs, alikuwa akifanya fujo halafu police wakianza kumtafuta alikuwa anakwenda nyumbani kwa RPC wa Dar miaka ile yaani RPC Tryphon Maji pale A. H. Mwinyi Rd jirani na Kaunda Drive. Basi police wanakuwa wa pole tu.
Aliona vema aende polisi kujisalimisha kuliko Kwenda kwa mwalimu 😁
Ameandika. comanchechiefIV
Britanicca
View attachment 3482833
Poppy Hatonn eti kuna ukweli?Andrew Nyerere ile miaka ya 1990s akiwa kijana wa ku party kwenye clubs, alikuwa akifanya fujo halafu police wakianza kumtafuta alikuwa anakwenda nyumbani kwa RPC wa Dar miaka ile yaani RPC Tryphon Maji pale A. H. Mwinyi Rd jirani na Kaunda Drive. Basi police wanakuwa wa pole tu.
Aliona vema aende polisi kujisalimisha kuliko Kwenda kwa mwalimu 😁
Ameandika. comanchechiefIV
Britanicca
View attachment 3482833
Capt ali nyabange unamkumbuka?Siyo kweli .
Kulala nje nilikuwa nalala Keko tu ghetto.
Quite right. Wewe umemkamata uongo. Disco nilikuwa nacheza miaka ya sabini nilipokuwa junior officer in the army.Labda ungesema miaka ya 70 au 80. Hii 90 ni juzijuzi hapo
Andrew Nyerere ile miaka ya 1990s akiwa kijana wa ku party kwenye clubs, alikuwa akifanya fujo halafu police wakianza kumtafuta alikuwa anakwenda nyumbani kwa RPC wa Dar miaka ile yaani RPC Tryphon Maji pale A. H. Mwinyi Rd jirani na Kaunda Drive. Basi police wanakuwa wa pole tu.
Aliona vema aende polisi kujisalimisha kuliko Kwenda kwa mwalimu 😁
Ameandika. comanchechiefIV
Britanicca
View attachment 3482833
fanya 38Miaka ya 90 itakuwa alikuwa na umri gani?
Mwaka 1977 anaendesha ndege ya kivita, miaka ya 90 acheze disco halafu amuogope baba yake. Miaka mingapi huyo wakati huo amuogope baba yake?Andrew Nyerere ile miaka ya 1990s akiwa kijana wa ku party kwenye clubs, alikuwa akifanya fujo halafu police wakianza kumtafuta alikuwa anakwenda nyumbani kwa RPC wa Dar miaka ile yaani RPC Tryphon Maji pale A. H. Mwinyi Rd jirani na Kaunda Drive. Basi police wanakuwa wa pole tu.
Aliona vema aende polisi kujisalimisha kuliko Kwenda kwa mwalimu 😁
Ameandika. comanchechiefIV
Britanicca
View attachment 3482833