MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,345
- 3,570
Pole mkuu pixel 6a hakuna mpya yaan non active HAKUNA zilizopo ni rufurbished...kupata simu mpya ni kuanzia pixel 7 tena napo uwe unazijua simu la sivyo utaambiwa ni mpya...watu wengi hawajui tofauti ya simu mpya na rufurbished na hili somo inabd litolewe maana watu wanapigwa sana za kichwa[emoji3]Pixel 6a mpya unboxed zipo
Pixel wameanza kutoa Refurb nadhani ni mwezi wa 10 so wana miezi miwili tu mpaka sasa.
Google Pixel wameanza kuuza refurbished October 28 ya mwaka huuPole mkuu pixel 6a hakuna mpya yaan non active HAKUNA zilizopo ni rufurbished...kupata simu mpya ni kuanzia pixel 7 tena napo uwe unazijua simu la sivyo utaambiwa ni mpya...watu wengi hawajui tofauti ya simu mpya na rufurbished na hili somo inabd litolewe maana watu wanapigwa sana za kichwa[emoji3]
Tuache ubishi broo tunajifunza simu mpya alafu unasema unboxed acha kuhadaika na wauzaji wa kiswahili ndugu yanguPixel 6a mpya unboxed zipo
Pixel wameanza kutoa Refurb nadhani ni mwezi wa 10 so wana miezi miwili tu mpaka sasa.
Broo acha kujicjanganya kwa pixel kama pixel(Kampuni la google)hawauz simu refurb ,otherwise ni pengine carrier refurb au the like acha kuchanganya mafaili sheikhe ,99 ya pixel bongo si tu used bali ni refurb kabisaGoogle Pixel wameanza kuuza refurbished October 28 ya mwaka huu
Kabla ya hapo hakukuwa na refurbished.
Simu mpya kuicheki ni rahisi kuliko kuhakiki simu used kama ni second hand iliyokuja kwa exchange.
Kwa kauli yako before ya hio tarehe hata 5 series mlikua mnauziwa mpya?Google Pixel wameanza kuuza refurbished October 28 ya mwaka huu
Kabla ya hapo hakukuwa na refurbished.
Simu mpya kuicheki ni rahisi kuliko kuhakiki simu used kama ni second hand iliyokuja kwa exchange.
Sikulazimishi kukubali ila haitoi maana kuwa upo sahihiTuache ubishi broo tunajifunza simu mpya alafu unasema unboxed acha kuhadaika na wauzaji wa kiswahili ndugu yangu
That's Personal incredulity.Broo acha kujicjanganya kwa pixel kama pixel(Kampuni la google)hawauz simu refurb ,otherwise ni pengine carrier refurb au the like acha kuchanganya mafaili sheikhe ,99 ya pixel bongo si tu used bali ni refurb kabisa
Tulikuwa tunauziwa na nani?Kwa kauli yako before ya hio tarehe hata 5 series mlikua mnauziwa mpya?
naThat's Personal incredulity.
Kutokujua injinia anawezaje kufanya ndege iruke hakuthibitishi ndege hairuki. Kunathibitisha wewe haujui.
Kutokujua kuwa Google Pixel wameanza kuuza refurbished, hakuthibitishi kuwa Google hawauzi refurbished. Kunathibitisha wewe haujui kuwa Google wanauza refurbished.
View attachment 3188633
Series mbili tu 6&7Mbona unazunguka nimeuliza ni kwa specific model au zote ndio wameanza refurb mwaka huu, hilo ni swali langu la mwisho tuongelee mengine kila mtu abaki na kuamin anachokiamin
na
Hapo sasa nimekuelewaSeries mbili tu 6&7
Maana yake 6, 6a, 6pro na 7, 7a pamoja na 7pro
Ata mi bado niko na 48 pro imekaa kinyama sana Aisee, ila ngoja nipambane na 4a 5g hapa.
Sogea kidogoAta mi bado niko na 4
"Si used bali ni refurb kabisa" kumbe used ni bora kuliko refurb au? na nini tofauti ya used na refurbBroo acha kujicjanganya kwa pixel kama pixel(Kampuni la google)hawauz simu refurb ,otherwise ni pengine carrier refurb au the like acha kuchanganya mafaili sheikhe ,99 ya pixel bongo si tu used bali ni refurb kabisa
Shida bongo matapeli wengi, wengi wauzaji waongo sanaSogea kidogo
Used ni bidhaa iliotumika ikauzwa baada ya kutumika kwake, refurb bidhaa ilikua na dosari aidha toka upya wake au hata baada ya kua used /imetumika hivo ikauzwa ,probably inawezwa uzwa ikiwa na hio dosari yake hense kupelekea kumsumbua zaidi atayaeitumia.unakutaa baadhi ya vitu ni replaced ,uelewa wangu ni huo"Si used bali ni refurb kabisa" kumbe used ni bora kuliko refurb au? na nini tofauti ya used na refurb
Google Pixel ni simu bora sana kwa mtazamo wangu.So far unaonaje ufanisi wa hawa jamaa Scars mimi najikuta nahis nataka kuzama miguu yote na hii brand
Kupitia vichache ulivyovijua tafadhali vitaje ,Mimi feature ya kuchukua video na muda huo huo ukaweza kutafasiriwa kile kinachozungumzwa inanikosha,pia uwezo wa ku copy n kupaste picha nahadaika sanaGoogle Pixel ni simu bora sana kwa mtazamo wangu.
Watu wengi wanatumia hizi simu kwa matumizi ya kuzoeleka lakini hawajaweza ku explore baadhi ya features ambazo zinafanya uzidi kuifurahia simu.
Google Pixel wakotoa simu huwa wanataja baadhi tu ya specs au features walizoweka ila ukiwa mtu wa ku customize utakutana na vitu kibao ambavyo ingekuwa ni Apple lazima wangevitaja siku ya uzinduzi wao
Si dhani kama ni sahihi kwa hii namna ulivyoelezaUsed ni bidhaa iliotumika ikauzwa baada ya kutumika kwake, refurb bidhaa ilikua na dosari aidha toka upya wake au hata baada ya kua used /imetumika hivo ikauzwa ,probably inawezwa uzwa ikiwa na hio dosari yake hense kupelekea kumsumbua zaidi atayaeitumia.unakutaa baadhi ya vitu ni replaced ,uelewa wangu ni huo