Android 15 ndani ya Google Pixel

Android 15 ndani ya Google Pixel

Pixel 6a mpya unboxed zipo

Pixel wameanza kutoa Refurb nadhani ni mwezi wa 10 so wana miezi miwili tu mpaka sasa.
Pole mkuu pixel 6a hakuna mpya yaan non active HAKUNA zilizopo ni rufurbished...kupata simu mpya ni kuanzia pixel 7 tena napo uwe unazijua simu la sivyo utaambiwa ni mpya...watu wengi hawajui tofauti ya simu mpya na rufurbished na hili somo inabd litolewe maana watu wanapigwa sana za kichwa[emoji3]
 
Google Pixel wameanza kuuza refurbished October 28 ya mwaka huu

Kabla ya hapo hakukuwa na refurbished.

Simu mpya kuicheki ni rahisi kuliko kuhakiki simu used kama ni second hand iliyokuja kwa exchange.
 
Pixel 6a mpya unboxed zipo

Pixel wameanza kutoa Refurb nadhani ni mwezi wa 10 so wana miezi miwili tu mpaka sasa.
Tuache ubishi broo tunajifunza simu mpya alafu unasema unboxed acha kuhadaika na wauzaji wa kiswahili ndugu yangu
 
Google Pixel wameanza kuuza refurbished October 28 ya mwaka huu

Kabla ya hapo hakukuwa na refurbished.

Simu mpya kuicheki ni rahisi kuliko kuhakiki simu used kama ni second hand iliyokuja kwa exchange.
Broo acha kujicjanganya kwa pixel kama pixel(Kampuni la google)hawauz simu refurb ,otherwise ni pengine carrier refurb au the like acha kuchanganya mafaili sheikhe ,99 ya pixel bongo si tu used bali ni refurb kabisa
 
Kwa kauli yako before ya hio tarehe hata 5 series mlikua mnauziwa mpya?
 
Broo acha kujicjanganya kwa pixel kama pixel(Kampuni la google)hawauz simu refurb ,otherwise ni pengine carrier refurb au the like acha kuchanganya mafaili sheikhe ,99 ya pixel bongo si tu used bali ni refurb kabisa
That's Personal incredulity.

Kutokujua injinia anawezaje kufanya ndege iruke hakuthibitishi ndege hairuki. Kunathibitisha wewe haujui.

Kutokujua kuwa Google Pixel wameanza kuuza refurbished, hakuthibitishi kuwa Google hawauzi refurbished. Kunathibitisha wewe haujui kuwa Google wanauza refurbished.
Screenshot_20241230-170502.png
 
Mbona unazunguka nimeuliza ni kwa specific model au zote ndio wameanza refurb mwaka huu, hilo ni swali langu la mwisho tuongelee mengine kila mtu abaki na kuamin anachokiamin
That's Personal incredulity.

Kutokujua injinia anawezaje kufanya ndege iruke hakuthibitishi ndege hairuki. Kunathibitisha wewe haujui.

Kutokujua kuwa Google Pixel wameanza kuuza refurbished, hakuthibitishi kuwa Google hawauzi refurbished. Kunathibitisha wewe haujui kuwa Google wanauza refurbished.
View attachment 3188633
na
 
Mbona unazunguka nimeuliza ni kwa specific model au zote ndio wameanza refurb mwaka huu, hilo ni swali langu la mwisho tuongelee mengine kila mtu abaki na kuamin anachokiamin

na
Series mbili tu 6&7

Maana yake 6, 6a, 6pro na 7, 7a pamoja na 7pro
 
Broo acha kujicjanganya kwa pixel kama pixel(Kampuni la google)hawauz simu refurb ,otherwise ni pengine carrier refurb au the like acha kuchanganya mafaili sheikhe ,99 ya pixel bongo si tu used bali ni refurb kabisa
"Si used bali ni refurb kabisa" kumbe used ni bora kuliko refurb au? na nini tofauti ya used na refurb
 
Used ni bidhaa iliotumika ikauzwa baada ya kutumika kwake, refurb bidhaa ilikua na dosari aidha toka upya wake au hata baada ya kua used /imetumika hivo ikauzwa ,probably inawezwa uzwa ikiwa na hio dosari yake hense kupelekea kumsumbua zaidi atayaeitumia.unakutaa baadhi ya vitu ni replaced ,uelewa wangu ni huo
 
So far unaonaje ufanisi wa hawa jamaa Scars mimi najikuta nahis nataka kuzama miguu yote na hii brand
Google Pixel ni simu bora sana kwa mtazamo wangu.

Watu wengi wanatumia hizi simu kwa matumizi ya kuzoeleka lakini hawajaweza ku explore baadhi ya features ambazo zinafanya uzidi kuifurahia simu.

Google Pixel wakotoa simu huwa wanataja baadhi tu ya specs au features walizoweka ila ukiwa mtu wa ku customize utakutana na vitu kibao ambavyo ingekuwa ni Apple lazima wangevitaja siku ya uzinduzi wao
 
Kupitia vichache ulivyovijua tafadhali vitaje ,Mimi feature ya kuchukua video na muda huo huo ukaweza kutafasiriwa kile kinachozungumzwa inanikosha,pia uwezo wa ku copy n kupaste picha nahadaika sana
 
Used ni bidhaa iliotumika ikauzwa baada ya kutumika kwake, refurb bidhaa ilikua na dosari aidha toka upya wake au hata baada ya kua used /imetumika hivo ikauzwa ,probably inawezwa uzwa ikiwa na hio dosari yake hense kupelekea kumsumbua zaidi atayaeitumia.unakutaa baadhi ya vitu ni replaced ,uelewa wangu ni huo
Si dhani kama ni sahihi kwa hii namna ulivyoeleza
 
Back
Top Bottom