Android 15 ndani ya Google Pixel

Android 15 ndani ya Google Pixel

Kwanza muonekano wake tu wa screen size yake kuwa ndogo kwa 4XL huwa inanikata sana.

Halafu pia 6a nyingi nilizoziona ni 6GB RAM kitu ambacho kipo kwenye XL miaka mitatu nyuma.

Kwangu mimi naona toleo la 6a ni kurudi nyuma badala ya kusonga mbele.

Na ndio maana huwezi kushangaa kuona hata kwenye market za hapa bongo kukuta 4XL yenye 128 ikauzwa bei juu kuliko 6a au zikakaribiana na hata 6a akizidi basi utofauti ukawa ni mdogo.
 
Kwa huo uchambuzi wako aisee tukuache tu ila tuhitimishe kwa sasa pixel ni zile zinazotumia G Tensor mbali na hapo unahangaika ,alafu wauzaji wa simu bongo makanjanja hio 4xl mpaka laki 2 unaipata duniani huko ziko outdated sana.
Nikiwa kama mmojawapo wa watu niliowa inspire watu waanze kutumia xiaomi hapa bongo kupitia uzi wangu hapa jukwaani nadiriki kusema Pixel ameimprove sana ,nilikua naona upuuz kuwaonja ila now nina mwez niko na pixel 6 maboresho ni makubwa kituo kifuatacho ni 8 february hapo .PIXEL KWA SASA IKO KWENYE KUNDI LA SIMU ZA KIUME (WANAUME)NA SI WAVULANA
 
Japo saizi kuna trend ya kupata simu nyingi dukani ambazo ni second hand zilizokuja baada ya watu kufanya exchange lakini Pixel 4Xl GB128 kwa laki 2 haiwezekani.

Labda iwe na vipengele imeguswa guswa kila sehemu au scratches kwenye screen.

Kioo tu cha Google pixel 4Xl ni almost 150K na muda mwingine hadi 170K.

Lakini 4Xl GB128 ambayo ni clean huwezi kuipata kwa bei hiyo.

Kuna page Google 6a mpya ambayo haijaguswa kabisa inauzwa 530,000.
 
Hio pesa ni yuan ya china badili hapo uone kama inafika hata laki 2.3 broo ,simu ya zamani hio nimetoka kuplace oda now ya pixel 8sio yangu ya mteja 99percent like new nikupa link utagoma
 
Attachments

  • Screenshot_20241230-125758.png
    Screenshot_20241230-125758.png
    600.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241230-125836.png
    Screenshot_20241230-125836.png
    204.7 KB · Views: 7
Nimekupa na tafsir ,Tuliograduate Cuba tunaelewa tunachomisema.
 
Attachments

  • Screenshot_20241230-130146.png
    Screenshot_20241230-130146.png
    504.7 KB · Views: 7
Endelea na kuletewa refurb kwa mgongo wa used from dubai,online kila detail imeandikaa hio ni second hand phone na ukumbuke hakuna pixel 4xl mpya dunia hii kwa sasa ila dar zitakuepo
 
Japo saizi kuna trend ya kupata simu nyingi dukani ambazo ni second hand zilizokuja baada ya watu kufanya exchange lakini Pixel 4Xl GB128 kwa laki 2 haiwezekani.

Labda iwe na vipengele imeguswa guswa kila sehemu au scratches kwenye screen.

Kioo tu cha Google pixel 4Xl ni almost 150K na muda mwingine hadi 170K.

Lakini 4Xl GB128 ambayo ni clean huwezi kuipata kwa bei hiyo.

Kuna page Google 6a mpya ambayo haijaguswa kabisa inauzwa 530,000.
Hebu kwanza tuanze na kipengele haijaguswa wewe hua una prove vipi ,kwa upande wa pixel kama haijugwa ,sio kwa ubaya ili nami nijifunze au pengine nikupe nami tricky zangu
 
Tizama hapo price za mchina na anakutajia kabisa kua simu ina hali gan au kipengele gani kwa sasa , na bei yake na unapewa had full box na bado na wao wanatupiga sembuse bongo kuuziwa 6a kwa jiwe tano
Japo saizi kuna trend ya kupata simu nyingi dukani ambazo ni second hand zilizokuja baada ya watu kufanya exchange lakini Pixel 4Xl GB128 kwa laki 2 haiwezekani.

Labda iwe na vipengele imeguswa guswa kila sehemu au scratches kwenye screen.

Kioo tu cha Google pixel 4Xl ni almost 150K na muda mwingine hadi 170K.

Lakini 4Xl GB128 ambayo ni clean huwezi kuipata kwa bei hiyo.

Kuna page Google 6a mpya ambayo haijaguswa kabisa inauzwa 530,000.
Screenshot_20241230-131550.png
 
Hebu kwanza tuanze na kipengele haijaguswa wewe hua una prove vipi ,kwa upande wa pixel kama haijugwa ,sio kwa ubaya ili nami nijifunze au pengine nikupe nami tricky zangu
Sawa ila mimi sio mtaalamu sana wa hardware.

Ila nikiona scratches kwenye edge ya back glass ni moja ya indication nayotumia kujua kuwa simu imepita kwa fundi.

Na sometimes wapo mafundi makini hawaachi trace na hiyo unaishia kukutana na hardware faults kama simu ku heat kupita kiasi au changamoto nyingine yoyote ambayo sio software.
 
Tuishia hapa mkuu hakuna pixel 6a mpya sasa hivi dunia hii tule refurb au used bas
 
Pixel 6a mpya unboxed zipo

Pixel wameanza kutoa Refurb nadhani ni mwezi wa 10 so wana miezi miwili tu mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom