Android 15 ndani ya Google Pixel

Android 15 ndani ya Google Pixel

Kupitia vichache ulivyovijua tafadhali vitaje ,Mimi feature ya kuchukua video na muda huo huo ukaweza kutafasiriwa kile kinachozungumzwa inanikosha,pia uwezo wa ku copy n kupaste picha nahadaika sana
Google lens.

Mfano nikitaka hata kujua kifaa chochote kinahusu nini au kinatumika kwa matumizi gani na jina lake hata silijui.

Nachokifanya napiga picha kisha nabonyeza Google lens hiyo inanipa full details ya hicho kitu.

Nyingine ni auto caption

Ku play media yeyote kisha maneno yake yakawa yana display kama lyrics.
 
Attachments

  • Screenshot_20241230-174656.png
    Screenshot_20241230-174656.png
    501.2 KB · Views: 7
Kiswahili kigum gugo tu utaona

Used Phone
  • Condition: Pre-owned, as-is, no refurbishment.
  • Warranty: Often none.
  • Cost: Usually cheaper.
  • Reliability: Varies, could have unseen issues.

Refurbished Phone
  • Condition: Restored to like-new, tested, and certified.
  • Warranty: Often included.
  • Cost: More than used, less than new.
  • Reliability: Generally higher due to refurbishment.

The main difference is that refurbished phones go through a process to ensure they work properly and often come with a warranty, while used phones are sold as-is with more uncertainty about their condition. Which one suits your needs?
 
Google lens.

Mfano nikitaka hata kujua kifaa chochote kinahusu nini au kinatumika kwa matumizi gani na jina lake hata silijui.

Nachokifanya napiga picha kisha nabonyeza Google lens hiyo inanipa full details ya hicho kitu.

Nyingine ni auto caption

Ku play media yeyote kisha maneno yake yakawa yana display kama lyrics.
Theft protection nayo si haba na pia Google sms app naimprove sana now hasa RCS feature
 
Hiyo Google lens ni simu zote za Android. Hadi Infinix
 
Theft protection nayo si haba na pia Google sms app naimprove sana now hasa RCS feature
Google sms ni nzuri ila inachangamoto ya kuandamwa na bugs nyingi.

Moja ya kasoro yake kwa sisi tunao run Os ya 13 ni kwenye search.

Ukiwa una search message utapewa key word results ambazo ni recently lakini kama kuna message ulikuwa unaitafuta ya mwaka jana hauwezi kuletewa.

Japo kuna muda inatulia lakini mara nyingi inazingua. Nilitaka ku report hilo tatizo nikakutana na wengine wakilalamika.

Hata hapo katikati watumiaji wa 4XL tulikutana na tatizo moja kwenye WhatsApp video ku turn kuwa green after uploaded.

Hili lilikuwa ni tatizo ambalo lilisumbua kwenye series ya 4 na likaja kuwa fixed automatically bila updates wala nini.
 
Kupitia vichache ulivyovijua tafadhali vitaje ,Mimi feature ya kuchukua video na muda huo huo ukaweza kutafasiriwa kile kinachozungumzwa inanikosha,pia uwezo wa ku copy n kupaste picha nahadaika sana
AI features kama hizo ndio trend ya simu za sasahivi
Ukipata Google Pixel 8 kupanda utazikuta nyingi sana.
Makampuni mengine kama Apple ukipata iPhone 15 Pro, Pro Max na 16 zote unazikuta
Samsung Galaxy S23, S23+, S23 Ultra na S24 zote hadi FE unapata hizo features
Na kwa China, kuna Xiaomi 14T series, 14 series, 15 series, 13 series nk unazipata uki update hadi Hyperos 2. Kwa simu za bei rahisi kuna Redmi Note 14 pro plus. Ila hapa nyingi ni mpaka watoe update ya HyperOS 2.

Pixel 8 zote na 9 zote zina features nyingi za AI kama Samsung
 
Kupitia vichache ulivyovijua tafadhali vitaje ,Mimi feature ya kuchukua video na muda huo huo ukaweza kutafasiriwa kile kinachozungumzwa inanikosha,pia uwezo wa ku copy n kupaste picha nahadaika sana
Kuchukua yan ukiwa unarecord video inaonyesha kinachozungumzwa?
Mm nna pixel 4a 5g, nikiwa naangalia video kwenye social networks ndio wananiandikia kinachozungumzwa
 
Mfano nitizame juakali(kipindi),nikianza kurecord hio video si watakua wanazungumza kiswahili basi mda huo huo itakua inanipa maneno yakingereza yatakua yanatokea naporecord ,means kwenye setting imekaa lugha ya kutafsir ni english
 
Back
Top Bottom