Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

Inatakiwa wajuzi wajibu hoja kwa ufanisi bila kutunishiana misuli. Atupo GMY hapa. Big Up kali linux
Wewe dogo unajicontarict sana, huna msimamo. Mara ukatae kutunishiana misuli, mara useme tuweke mashindano.

Hadi naona najiaibisha tu kukuquote
 
Dogo unaita app mbaya nakubaliana na wewe 100% lakini pia Nenda kasome reviews zake playstore basi, usiweke hate kwenye reality, face facts mdogo wangu. Niambie ubaya upo wapi mimi nikiendelea kumantain app nitarekebisha, simple and clear, lkn kasome kwanza reviews za waloitumia. Mm sio kama devs wanaokataa challenges kwenye projects zao

Na kwa taarifa yako napata requests nyingi watu wanaomba niendelee kumantain hio app,

Pia Unashangaa kununua coins? Dogo unachekesha sana, nikisema nitag watu walokua wanatumia app waje wakujibu hapa utajiona mjinga, watu walikua wananunua coins kujoin leagues mpaka nilipostop kuweka leagues. Hio picha apo ofcoz ni demo tu ya playstore sio real coins hizo lkn coins zilikua zinanunulika mpaka nilipostop kuimantain hio app, na kwa taarifa yako naendeleza kuimantain muda si mrefu.

Kasome reviews playstore af linganisha na apps zako zote ulizoweka.

Nulled scripts? Nishasema unatumia sana nulled scripts ukidhan kila mtu anatumia. Kaniletee algorithm ya lastcard au arubastini nlokopi basi
 
Lakini mkuu ungeweza kufanya nini kwa upande wa security ikiwa unaona wanaficha kitu flani, je unaweza kukifichua kama inawezekekana we fichua tu weka adharani
Mie ni professional sifanyi kazi kiswahili na kwa hypes, nishasema toka huko juu, waambie NMB wafungue bug bounty program, niko pale na ndoo yangu ya heineken nawasubiri
 
Mimi sio nikupe mm nakutengenezea ukitaka, au ni clone app yako arafu niweke katika store yangu na ww udownload πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Una utoto mwingi sana, comment yako ya mwisho hii kukuquote af nakuweka kwenye ignore list, lakini ukikua ukaja kurudi kusoma comments zako hapa I'm sure utaona aibu.

Nakupa ushauri wa bure,
Kwanza apps zako zilizopo playstore zote karibu zote ni 'early access', nyingine bado zipo kwenye development mode na mojawapo ulitengeneza for very very old android versions, sasa muda wa kufanya kazi zako hauna lakini una muda wa kuja kubishana hapa na kuanzisha off-topics, badala ujenge hoja au ukakae ujifunze zaidi, u-deal na projecfs zako uko hapa kuongea off-topics tu
 
Inasikitisha kuona uzi umetoka nje ya mada lengwa.

Nakazia tena hii App mimi nilifungua kama mtumiaji wa kawaida na haya ni maoni yangu kama mtumiaji wa kawaida.

Sasa mnaoingiza ushindani wa skills za coding, hacking, projects na mambo mengine fungueni nyuzi za hayo mambo then mnitag na hakikisheni mko vzr kweli kweli
 
Sawa bro tumekuelewa, wacha tujifunze kupitia .... napenda kujifunza sana. Nilianza kuosma comments kutoka mwisho
 
Hivi Bongo, kampuni zinalipa fedha pale unapowapa hints za namna apps zao zinavyoweza kuwa hacked? Au taarifa za mteja zinavyoweza kuvunwa na kutumiwa vibaya?

If Yes, mnawasilianaje nao?
Vodacom wana bounty program, wanalipa up to 2000usd kama sikosei, kulingana na uzito wa issue uliyoibua. Wasiliana nao kama skills zipo.
 
App hata iwe kali vipi, kama inavikwazo kwa watumiaji, inapoteza ubora. Security na easiness are inversely proportional, chaguo ni lako mtengenezaji.
 
Inawezekana wapo sawa. Enabling developer options inaweza kutumika kama mwanya wa kuruhusu/kuwezesha app App itumike kwenye debug mode, jambo ambalo sio salama, inawezekana pia kwa framework waliyotumia kutengeneza app yao (nafahamu hawajatumia native) hakuna njia rahisi ya kuzuia/ku detect app ikiwa ina run kwenye debug Mode.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…