Inaonekana una point ila utoto wako unazidi uzito wa point zako
1)Sipo hapa kushindana, my time is limited siwezi poteza muda kwa mambo ya kitoto kama hayo. Nipo hapa kukosoa huduma ambayo tumelipia na kupoteza muda wetu kuunganishwa ili kuipata.
2)Unasema tuhack kwenye hio app, nilishatoa jibu huko juu. Kaongee na NMB wafungue bug bounty program kwenye professional site yyt ya bug bounty (na-recommend hackerone) wakikubali nitumie link ya hio bug bounty program niingie mzigoni.
3)Naona umekariri neno 'Nulled scripts' kwa sababu unazitumia sana, naweza reverse engineer apps zako zote nikakuonesha ulipotumia hizo modified scripts za watu hadi ulipozitolea ila sina hio time na huwa sijibu utoto kwa utoto. Mfano kwenye hizo apps ulizoweka playstore kuna game moja umeclone, scripts ziko wazi kabisa hio ni clone
4)Hahahahaaa unaongelea github? Una misuli? Mzee watu contributions zetu zinafahamika hadi silicon valley kwa wazungu unaow-admire wewe. Big FOSS projects kama Wordpress, Gutenberg, OWASP ZAP kuna codes zangu humo, na sina github acc moja, zipo tatu na zote zipo active (coding, cyber, web3). Anyway Back to the topic sina time ya kufanya huo utoto, nmetengenezea watu zaidi ya kumi humu jf systems ambazo hadi leo wanatumia na hizo app sikutaka hata kushare lkn users wanaojua kazi zangu ndo wameshare. Na kwa taarifa yako hio app waloshare ni apps ambazo huwa natengeneza nikiwa sina kazi ya kufanya, yaani nikiwa nataka kurefresh
Kama kazi zangu hazikufanyi kuappreciate uwezo na mchango wangu basi endelea na mashindano yako na watoto wenzio ila siku ukikua njoo tujenge hoja bila kuweka mashindano yako ya kipuuzi, BTW siko hapa kuimpress watu