Mzee umemaliza kabisa mjadala mzee wangu."Tusitishane'' Mashirika yote ya ndege ulimwenguni yamefuta safari karibu 3 weeks now, sasa hizo ndege mlikuwa mnataka zitoke wapi? Kweli kuna watu wajinga sijapata kuona.
Tulijua tu, hakuna ujanja. Watu wenye akili wanajua hali ya maambukizi ni mbaya kuliko inavyoelezwa.
Unaweza ukagoma au ukachelewa kuchukua hatua mapema lakini mwisho wa siku hali halisi ikakulazimisha kuchukua hatua.
Tumeanza na hilo la safari, soon social gathering zitapigwa marufuku then partial lockdown itafuata.
Tutakuja hapa hapa JF kukiri hayo.
"Tusitishane'' Mashirika yote ya ndege ulimwenguni yamefuta safari karibu 3 weeks now, sasa hizo ndege mlikuwa mnataka zitoke wapi? Kweli kuna watu wajinga sijapata kuona.
Si mlibishaaa ohh hatufungi viwanja vya ndege wala mpaka, Sahv Jiandae kufungiwa Ndani bwasheeNi jambo jema!
How do you mean? Succumb to what?Is this true? "Decider in Chief" ame succumb?
TCAA wametoa hili tangazo kukutisha?"Tusitishane'' Mashirika yote ya ndege ulimwenguni yamefuta safari karibu 3 weeks now, sasa hizo ndege mlikuwa mnataka zitoke wapi? Kweli kuna watu wajinga sijapata kuona.
Ila si ajabu wengi walikuwa hawajui kama safari zilianza kukomaa siku nyingi,na zilizobaki ni za mizigo peke yake."Tusitishane'' Mashirika yote ya ndege ulimwenguni yamefuta safari karibu 3 weeks now, sasa hizo ndege mlikuwa mnataka zitoke wapi? Kweli kuna watu wajinga sijapata kuona.
Ndio hapo sasa.Nan kaiga kenya
Watu mnapenda kick kweli. Mashirika yote ya ndege ulimwenguni yamefuta safari karibu 3 weeks now, sasa hizo ndege mlikuwa mnataka zitoke wapi? Kweli kuna watu wajinga sijapata kuona.
Mkuu.mijitu mijinga ilingoja tuambukizwe kwanza ndiyo yazuie.wanabet maisha ya wabongoWatu mnapenda kick kweli. Mashirika yote ya ndege ulimwenguni yamefuta safari karibu 3 weeks now, sasa hizo ndege mlikuwa mnataka zitoke wapi? Kweli kuna watu wajinga sijapata kuona.
Mamlaka ya Usalama wa Anga imefuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa tangu jana.
Ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kuingia kwa masharti kuwa wafanyakazi wa ndege hizo watawekwa quarantine kwa gharama zao.
At last, wanasiasa wamesikiliza ushauri wetu juu ya Corona pandemic
Mamlaka ya Usalama wa Anga imefuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa tangu jana.
Ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kuingia kwa masharti kuwa wafanyakazi wa ndege hizo watawekwa quarantine kwa gharama zao.
At last, wanasiasa wamesikiliza ushauri wetu juu ya Corona pandemic
View attachment 1417515
Dunia yote inaelekea kulia, halafu nyie kwa ushamba wenu mkajidai kuelekea kushoto, kiko wapi sasa?!Watu mnapenda kick kweli. Mashirika yote ya ndege ulimwenguni yamefuta safari karibu 3 weeks now, sasa hizo ndege mlikuwa mnataka zitoke wapi? Kweli kuna watu wajinga sijapata kuona.