Anga la Tanzania lafungwa kwa safari zote za abiria za kimataifa

Bila upinzani nchi inaweza kuingia kwenye janga kubwa sana
Mamlaka ya Usalama wa Anga imefuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa tangu jana.
Ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kuingia kwa masharti kuwa wafanyakazi wa ndege hizo watawekwa quarantine kwa gharama zao.
At last, wanasiasa wamesikiliza ushauri wetu juu ya Corona pandemic
View attachment 1417515

In God we Trust
 
Nchi yatu ina watu washamba sana. Ndege ambayo ilikuwa inaendelea na safari ni moja tu. Sasa wanafungia fungia ndege gani? Ethiopian ndio iliyokuwa inafanya safari na mara nyingi ilikuwa inawarudisha watu makwao
 
Hadi lini
 
Wanang'ang'ania kuchukua zile hatua rahisi na zisizo na umuhimu!
 
Mamlaka ya Usalama wa Anga imefuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa tangu jana.
Ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kuingia kwa masharti kuwa wafanyakazi wa ndege hizo watawekwa quarantine kwa gharama zao.
At last, wanasiasa wamesikiliza ushauri wetu juu ya Corona pandemic
View attachment 1417515
nchi 8 nyenyenyeee!!
 
Back
Top Bottom