Anga la Tanzania lafungwa kwa safari zote za abiria za kimataifa

Anga la Tanzania lafungwa kwa safari zote za abiria za kimataifa

Endeleeni wenye kushabikia yasiyofaa, maana mwanufaika na ushabiki wenu, lakini aliyejuu atalipigania taifa lake. Ee Mungu mtie nguvu raisi wetu atuvushe salama kwenye kipindi hiki kigumu.
Usimshirikishe MUNGU kwenye mambo ya kijinga. Kwani Macca na Israel huyo mungu unayemwita alipiganie taifa lake hayupo? Kama kwenye "Nchi takatifu" watu wanakufa kwa Coronavirus ndiyo ije kuwa Tanzania?
 
Mamlaka ya Usalama wa Anga imefuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa tangu jana.
Ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kuingia kwa masharti kuwa wafanyakazi wa ndege hizo watawekwa quarantine kwa gharama zao.
At last, wanasiasa wamesikiliza ushauri wetu juu ya Corona pandemic
View attachment 1417515

Kuna ndege gani iliyokuwa inakuja na abiria? Mashirika machache yaliyokuwa bado yanaleta ndege zao hapa nchini hayakuwa na abiria na yakasitisitisha safari zao kuja Tanzania, hata wasingetangaza ndege ipi ingekuja?
Hii ni sawa na mfungwa kutangaza "nimeamua kuja gereza hili".
 
Tulijua tu, hakuna ujanja. Watu wenye akili wanajua hali ya maambukizi ni mbaya kuliko inavyoelezwa.
Unaweza ukagoma au ukachelewa kuchukua hatua mapema lakini mwisho wa siku hali halisi ikakulazimisha kuchukua hatua.

Tumeanza na hilo la safari, soon social gathering zitapigwa marufuku then partial lockdown itafuata.

Tutakuja hapa hapa JF kukiri hayo.
Usipokuwemo wewe ama ndugu yako hakuna uwingi Wala nini
 
Usimshirikishe MUNGU kwenye mambo ya kijinga. Kwani Macca na Israel huyo mungu unayemwita alipiganie taifa lake hayupo? Kama kwenye "Nchi takatifu" watu wanakufa kwa Coronavirus ndiyo ije kuwa Tanzania?

Hao ndiyo wale watakao unga mkono kuliko wewe sasa hivi akiitisha hatua yoyote ambayo sasa hivi walikuwa wanaipinga.

Hawa hatuna haja ya kupoteza muda nao.
 
Sitashangaa kabisa kusikia bossi wa Tanzania Civil Aviation akitumbuliwa na nafasi yake kuchukuliwa na Mwigulu Mchemba
 
Hata hivyo, wamechelewa kuchukua hatua. Ilipaswa ifanyike mapena.
 
Watu mnapenda kick kweli. Mashirika yote ya ndege ulimwenguni yamefuta safari karibu 3 weeks now, sasa hizo ndege mlikuwa mnataka zitoke wapi? Kweli kuna watu wajinga sijapata kuona.
Mnasema mashirika yote yamesimamisha safari...wakati kuna ndege zilikuwa zitue JNIA before cancellation happened ,
What made your leaders change their mind though? 🤔
1586713651388.png
 
Back
Top Bottom