Anga la Tanzania lafungwa kwa safari zote za abiria za kimataifa

Anga la Tanzania lafungwa kwa safari zote za abiria za kimataifa

Kweli mkuu mijitu mijinga hatari, sijui inafunga anga dreamliner yetu itaingiaje toka kwa mabeberu

Serikali ilikuwa inangijea ndege zake zote zirudi nyumbani na ndipo uamuzi ukatolewa kufunga anga.

Ndege za kmataifa ziko makwao na ndege zetu zote zipo Tanzania.

Hata hivyo ndege zote za mizigo zinaendelea na safari zake kama kawaida.
 
..acha utani aisee kumbe haikua macho? Utakamatwa na mambo now utoe ushahidi😀😀😀 mzee rukusa alisema ukiona maji yamekorogeka unajiuliza Kwanza( sijui alimaanisha nini uyu mzee wetu)
 
Ila si ajabu wengi walikuwa hawajui kama safari zilianza kukomaa siku nyingi,na zilizobaki ni za mizigo peke yake.
Si kweli acha uongo. Ethiopian Airlines si ilikuwa inakuja mara 3 kwa wiki.
"Tusitishane'' Mashirika yote ya ndege ulimwenguni yamefuta safari karibu 3 weeks now, sasa hizo ndege mlikuwa mnataka zitoke wapi? Kweli kuna watu wajinga sijapata kuona.
Sio kweli acha uongo wako. Mbona Ethiopian Airlines walikuwa wanaendelea kuja?

Tiba
 
Taratibu wameanza kufuata ushauri wa Kamanda Mbowe
Mbowe ndio nani?hiyo ni automatic lazima wangefunga ili kupunguza gharama za uendeshaji sababu nchi nyingi zimefunga viwanja vyao vya ndege hakuna ndege zilizokuwa zinakuja,ss sisi tuwache wazi tungojee ndege za kichawi za usiku au,some time muwe mna comment vitu kwa kushughulisha ubongo hata kidogo sio matako umsilete habari zenu za kijinga ,Mbowe Mbowe yeye ndio nani,inamaana yy ana akili sana kuliko wa TZ wote??
 
Nyie mnaosema Hakuna ndege Za abiria zinazoingia nchini wiki mbili Sasa.. Wale walioko quarantine na wanaongezeka kila siku wamekuja toka ulaya na mabasi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tetesi huyo Mbowe alipata ZERO kwenye pepa za kidato cha sita.

Mimi sio mtu wa kushangilia matokeo ya darasani lakini kwa kweli nikijua mtu kapata ZERO tena mitihani ya Taifa, huwa nina mpuuza tu. Hivyo Mbowe hayupo kwenye nafasi ya kushauri chochote hapa Nchini.

CHADEMA mnisamehe ila huu ndio ukweli.
 
Wanazingua hao Mbowe mweupe tu hana cha kuleta kwny nchi hii wanaomfagilia wote hawajielewi.
 
Kwa sasa Tanzania tunatekeleza mipango ya upinzani

In God we Trust
Ni kweli upinzani mpo vizuri kuweka mipango...CCM kwa upande mwingine wapo vizuri kutekeleza mipango ya upinzani.

Wapinzani endeleeni hivyo hivyo kuweka mipango mezani ili CCM iendelee kuitekeleza kila baada ya miaka 5. Hii ndio Tanzania yetu.
 
Hii waliashauriwa siku nyingi Ila ndio vile ushauri ukitolewa na upande wapili haupewi uzito mpaka Mambo yawe mabaya
Mamlaka ya Usalama wa Anga imefuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa tangu jana.
Ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kuingia kwa masharti kuwa wafanyakazi wa ndege hizo watawekwa quarantine kwa gharama zao.
At last, wanasiasa wamesikiliza ushauri wetu juu ya Corona pandemic
View attachment 1417515

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mnaosema Hakuna ndege Za abiria zinazoingia nchini wiki mbili Sasa.. Wale walioko quarantine na wanaongezeka kila siku wamekuja toka ulaya na mabasi?

Sent using Jamii Forums mobile app
walioko karantini sio lazima watoke ulaya wengine wametoka nchi zetu za jirani hapa kama kenya msumbiji na hata malawi, nchi za watu ndege haziruki mkuu, we kubaliana na wanaosema hivyo
 
Back
Top Bottom