Anga la Tanzania lafungwa kwa safari zote za abiria za kimataifa

Anga la Tanzania lafungwa kwa safari zote za abiria za kimataifa

Hilo halina ubishi kuwa bila upinzani watanzania mgekuwa mshapigwa mnada
Ni kweli upinzani mpo vizuri kuweka mipango...CCM kwa upande mwingine wapo vizuri kutekeleza mipango ya upinzani.

Wapinzani endeleeni hivyo hivyo kuweka mipango mezani ili CCM iendelee kuitekeleza kila baada ya miaka 5. Hii ndio Tanzania yetu.

In God we Trust
 
NI KAMA NAISIKIA SAUTI YA RAISI WANGU KATIKA HALI YA UKIMYA. MAANA MASHABIKI NI WENGI. MUNGU WETU AKAONEKANE KUWA MUNGU.

Hesabu 11
10 Basi Musa akawasikia watu wakilia katika jamaa zao zote, kila mtu mlangoni pa hema yake; na hasira za BWANA zikawaka sana; Musa naye akakasirika.
11 Musa akamwambia BWANA, Mbona umenitenda uovu mimi mtumishi wako? Kwa nini sikupata neema machoni pako, hata ukanitwika mzigo wa watu hawa wote juu yangu?
12 Je! Ni mimi niliyewatungisha mimba watu hawa wote je! Ni mimi niliyewazaa, hata ikawa wewe kuniambia, Haya, wachukue kifuani mwako, mfano wa baba mwenye kulea achukuavyo mtoto anyonyaye, uende nao mpaka nchi uliyowaapia baba zao?
13 Nipate wapi nyama ya kuwapa watu hawa wote? Kwani wanililia, wakisema Tupe nyama, tupate kula.
14 Mimi siwezi kuwachukua watu hawa wote peke yangu, kwa kuwa ni mzigo mzito sana wa kunishinda.

Endeleeni wenye kushabikia yasiyofaa, maana mwanufaika na ushabiki wenu, lakini aliyejuu atalipigania taifa lake. Ee Mungu mtie nguvu raisi wetu atuvushe salama kwenye kipindi hiki kigumu.
Kiumbe gani? Unayetumaini atakuvusha salama kwenye janga hili la korona ndugu huyu mr kaugonjwa kadogo tuchape kazi😄😄 hebu usiweke maneno ya Mungu yenye hekima juu ya kinywa na kichwa cha mpumbavu muombe Mungu akusaidie kujua wapi pa kuweka tumaini lako nawe utaikomboa nafsi yako. Wenye hekima na maono ya kiroho wameshauona uzembe na hali mbaya mbele yao kwamba waliyempa dhamana kashasaini hati ya kifo dhidi yao aidha kwa kujua au la. Hivyo wamebaki na MUNGU TU na si huyu mungumtu Ajitukuzaye juu ya mawe😄😄😄😄😄😄😄😄
 
iambie serikali sio mimi, wewe vipi?
Kwani serikali ndio inayosema corona bado haijaonesha makali? nyie ambao mnaona corona bado haijaonesha makali ndio wa kujibu kwamba hadi leo bado mnasubiri corona ioneshe makali?
 
Mbowe ndio nani?hiyo ni automatic lazima wangefunga ili kupunguza gharama za uendeshaji sababu nchi nyingi zimefunga viwanja vyao vya ndege hakuna ndege zilizokuwa zinakuja,ss sisi tuwache wazi tungojee ndege za kichawi za usiku au,some time muwe mna comment vitu kwa kushughulisha ubongo hata kidogo sio matako umsilete habari zenu za kijinga ,Mbowe Mbowe yeye ndio nani,inamaana yy ana akili sana kuliko wa TZ wote??
Basi ndugu hautaniwi? JIWE NDILO LINAAKILI KUZIDI WATZ WOTE😆😆😆😆😆😆🐃
 
Na Magufuli arudi Dar tupambane wote na Corona pamoja ndio Uzalendo.
Aibu sana kiongozi mbabe kujificha kwenye mawe.
Mkuu Dar kazi zinaendelea kama kawaida kwa maana hakuna hofu ya corona hata hiyo level seat na kunawa nawa mikono ni kufuata tu maagizo ya serikali,sasa katika mazingira hayo Magufuli ndio akimbie?
 
NI KAMA NAISIKIA SAUTI YA RAISI WANGU KATIKA HALI YA UKIMYA. MAANA MASHABIKI NI WENGI. MUNGU WETU AKAONEKANE KUWA MUNGU.

Hesabu 11
10 Basi Musa akawasikia watu wakilia katika jamaa zao zote, kila mtu mlangoni pa hema yake; na hasira za BWANA zikawaka sana; Musa naye akakasirika.
11 Musa akamwambia BWANA, Mbona umenitenda uovu mimi mtumishi wako? Kwa nini sikupata neema machoni pako, hata ukanitwika mzigo wa watu hawa wote juu yangu?
12 Je! Ni mimi niliyewatungisha mimba watu hawa wote je! Ni mimi niliyewazaa, hata ikawa wewe kuniambia, Haya, wachukue kifuani mwako, mfano wa baba mwenye kulea achukuavyo mtoto anyonyaye, uende nao mpaka nchi uliyowaapia baba zao?
13 Nipate wapi nyama ya kuwapa watu hawa wote? Kwani wanililia, wakisema Tupe nyama, tupate kula.
14 Mimi siwezi kuwachukua watu hawa wote peke yangu, kwa kuwa ni mzigo mzito sana wa kunishinda.

Endeleeni wenye kushabikia yasiyofaa, maana mwanufaika na ushabiki wenu, lakini aliyejuu atalipigania taifa lake. Ee Mungu mtie nguvu raisi wetu atuvushe salama kwenye kipindi hiki kigumu.
Kimya chake kinamshindo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutapunguza ajira za watu wetu na kudumaza uchumi.Waondoe hilo zuio haraka, corona si tatizo kivile kwetu,litapita na wengi wetu tutaishi nalo kwa kinga ya asili kama mafua ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani serikali ndio inayosema corona bado haijaonesha makali? nyie ambao mnaona corona bado haijaonesha makali ndio wa kujibu kwamba hadi leo bado mnasubiri corona ioneshe makali?
naona unarudia swali tena🤔
 
Back
Top Bottom