Anga la Tanzania lafungwa kwa safari zote za abiria za kimataifa

Anga la Tanzania lafungwa kwa safari zote za abiria za kimataifa

Umepanick bure !!. Polepole alisema hawawezi kufunga kisa watalii, bwana mkubwa naye vile vile na akasisitiza tusitishwe na hii kitu . Leo unasema ilikuwa lazima wafunge !! Tukuamini wewe au waendesha nchi ?!

By the way, kushauriwa na kiongozi wa upinzani siyo dhambi wala kujidhalilisha. Ipo ki katiba na ndiyo maana mnamlipa mshahara tofauti na wa ubunge.

Odhis *
Wengine ni waajiriwa hapa mnaliia lilia lockdown kwani rais Magufuli akiamua kufanya lockdown harafu akaondoa mshahara wa miezi 3 kwa kila muajiriwa sababu nchi haiingizi kipato akaenda zake Chato kupumzika mpk Corona ikwishe nani ataumia yy au nyinyi waajiriwa???Vitu vingine tumieni akili kufikilia sio makalio ,msiongee ili muonekane tu mnajua kuongea Magufuli ana akili nyingi kuliko waTz wote na Mbowe akiwepo.
 
Kwani ndege zilikuwa zinakuja bwashee?

Akina KLM, Swiss air, Emirates, Qatar nk!!
Sasa baada ya kuona maambukizi ya ndani yameanza baada ya kiletwa na wageni ndio mnastuka kuna kuzuia ndege?

Mkuu nakuomba tuweke siasa pembeni, ivi does that make sense? Kwanini inachukua mda mrefu kufanya hii simple decision? Kwann tunangoja maafa yatokee ndio tufanye maamuzi?

Haya korona ishaletwa maambukizi yameanza je tuna uwezo wa kukontroo? Angalia usa, italy na spain wanavyo suffer!

Tunaenda wapi watanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well, ni hatua ambayo kimsingi ilipaswa kuchukuliwa kitambo maana mashirika yenyewe yalishasitisha safari kwa kuwa hakuna wateja. Who wants to come and get into a 14 days mandatory quarantine (with high chances za kuambukizwa humo) kama safari sio lazima? Most likely ilikuwa imebakia Ethiopian Airline pekee ambayo nao pia walislash trips kutoka 2 kwa siku mpaka tatu tu kwa wiki

Sasa hivi local transmissions zilishaanza na kufunga mipaka haitusaidii saana. Twende hatua ya pili sasa. Piga marufuku mikusanyiko mikubwa stand, sokoni, ferry, sherehe za harusi, vikao vya bunge, kupunguza wafungwa mahabusu etc. Extend muda wa kufungua shule na non-essential staff waanze kufanyia kazi home au wapewe likizo za lazima
 
Hapa watakupinga na kukuita sio mzalendo ila hali ikiwa taiti ndio watatekeleza ushauri wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saivi hakuna hata kutangaza new cases... Kulalae. !! Kimyakimya...kila mmoja akomae nao kivyake
Imported transmission "nawa mikono, chapa kazi" local transmission "nawa mikono, chapa kazi", community transmission " nawa mikono, chapa kazi).. vifo..... hakuna kutangaza .... chapeni kazi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maoni yangu naona wamechelewa kuchukua hatua hiyo. But i know better later than never.
 
Haina shida wanaingia mipakani
Mamlaka ya Usafiri wa Anga imefuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa tangu jana.
Ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kuingia kwa masharti kuwa wafanyakazi wa ndege hizo watawekwa quarantine kwa gharama zao.
At last, wanasiasa wamesikiliza ushauri wetu juu ya Corona pandemic
View attachment 1417515

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tetesi huyo Mbowe alipata ZERO kwenye pepa za kidato cha sita.

Mimi sio mtu wa kushangilia matokeo ya darasani lakini kwa kweli nikijua mtu kapata ZERO tena mitihani ya Taifa, huwa nina mpuuza tu. Hivyo Mbowe hayupo kwenye nafasi ya kushauri chochote hapa Nchini.

CHADEMA mnisamehe ila huu ndio ukweli.

Mkuu mbona babaako kapataONE kaishia ualimu ukuu kule nzega? Sisi hatusemi kitu??
 
Serikali ilikuwa inangijea ndege zake zote zirudi nyumbani na ndipo uamuzi ukatolewa kufunga anga.

Ndege za kmataifa ziko makwao na ndege zetu zote zipo Tanzania.

Hata hivyo ndege zote za mizigo zinaendelea na safari zake kama kawaida.

..hatua za tahadhari ni jitihada za kuepuka maambukizi na kunusuru maisha ya waTz.

..sasa unaposema serikali ilikuwa inasubiri ndege zote zirudi Tz, hudhani kwamba unajenga picha kuwa serikali inazithamini hizo ndege kuliko uhai wa waTz?

..hizi taarifa ni kwamba umekisia, au tunaweza kuzinukuu kama taarifa sahihi?

cc tindo
 
Kuna raia kadha wa nchi za kigeni ambao walikodiwa ndege za kuwachukua kutokea Tanzania hivyo anga halikuwa limefungwa.

Hivyo baada ya evacuation hiyo imebakia ndege za mizigo tu na ni mpango maalum wa mashirika ya ndege na serikali ya Tanzania.

Nchi ngingi ambazo ziliwahi kufunga anga zao ilibidi kuzifungau pale nchi za kigeni zilipoomba raia wao wawe evacuated na hiyo ilileta usumbufu kwenye masuala ya kiteknolojia na logistics.

Hivyo kwa Tabzania nafikiri suala la kufunga air space yetu limekuja wakati muafaka.
 
..siamini kwamba kufunga air space maana yake hakuna ndege inayoweza kutua Tz.
 
..siamini kwamba kufunga air space maana yake hakuna ndege inayoweza kutua Tz.

Ndio maana nimesema kwamba ndege za mizigo zaendelea kutua kama kawaida.

Licha ya hivyo nchi ngingi tu zimefunga air space zao na nchi ingine ikitaka kufanya evacuation kwa raia wao khasa US na nchi za Ulaya basi huomba serikali za nchi husika ziruhusu ndege za kukodi zitue kuchukua raia hao.

Nchi zingine za Ulaya na Marekani hajijafunga air space lakini ndege za kawaida haziruhusiwi kutua na zikitua kwa lazima hata kule kwenye viwanja vya uchochoron zitapigwa faini ya mwaka na kufutiwa landingi rights.
 
Ukiangalia wafanyakazi wa Airport naona wengi hawana shughuli kwa mda mrefu
Kwa kufunga ni lazima tutake tusitake
Kama nchi karibia zote zimefunga mipaka yao kuna namna tena?
La muhimu sasa ni kujikinga na maambukizi tu na tahadhari
Hata kina Trump walipuuza sana na kuongea mengi
Hawakutegemea yatawafika haya
Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hao wageni walikuwa wanaletwa na nini mapovu mengine sijui yanatoka kwenye ubongo wa matope. Kweli kusifu ccm ni sawa na upopoma
Watu mnapenda kick kweli. Mashirika yote ya ndege ulimwenguni yamefuta safari karibu 3 weeks now, sasa hizo ndege mlikuwa mnataka zitoke wapi? Kweli kuna watu wajinga sijapata kuona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nimesema kwamba ndege za mizigo zinaendelea kutua kama kawaida.

Licha ya hivyo nchi ngingi tu zimefunga air space zao na nchi ingine ikitaka kufanya evacuation kwa raia wao khasa US na nchi za Ulaya basi huomba serikali za nchi husika ziruhusu ndege za kukodi zitue kuchukua raia hao.

Nchi zingine za Ulaya na Marekani hajijafunga air space lakini ndege za kawadia haziruhusiwi kutua na zikitua kwa lazima hata kule kwenye viwanja vya uchochoron zitapigwa faini ya mwaka na kufutiwa landingi rights.

..nisichokubaliana na wewe ni madai yako kwamba serikali ilikuwa inasubiri ndege zake zirudi ndipo wafunge air-space yetu.

..Ndiyo maana nikakuuliza ina maana hizo ndege ni muhimu kuliko usalama wa afya za waTz?

..Najua hii serikali ya awamu ya 5 ni ya hovyo-hovyo lakini sidhani kama wamefikia kiwango cha kuthamini ndege kuliko afya za waTz.
 
Back
Top Bottom