G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Watanzania chapeni kaziii..Tumieni hii mvua kurima na musipoitumia inawezekana isije ikanyesha tena (Magufuli mwezi wa pili ila mpaka leo mvua inanyesha). Mnatishana munoo. Corona wala haisumbui kama malaria na UKIMWI (TBC wakamuunga mkono wakawa wanarudia rudia hako katangazo ila kilichowakuta hawatosahau milele)
Makonda naye akawa anazunguka zunguka huko eti Colona hainezwi kwa hewa, watakaoipata ni wachokonoa pua (Mwambieni azunguke zunguke tena na maneno yake ya colona colona sijui dathlam yangu kama alivyokuwa anafanya kama atathubutu. Alishika adabu sawasawa)