kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,405
sasa mbona unatoa povu kama ugonjwa ni wa kwenu?Una mawazo ya kipunguani kweli.
Any way uzuri wa huu ugonjwa hauna/haubagui chama wala rangi ya mtu, chadema, ccm,ACT, NCCR unasomba tu.
sasa mbona unatoa povu kama ugonjwa ni wa kwenu?Una mawazo ya kipunguani kweli.
Any way uzuri wa huu ugonjwa hauna/haubagui chama wala rangi ya mtu, chadema, ccm,ACT, NCCR unasomba tu.
Kwani hujui kuwa mashirika ya ndege za abiria yalishasitisha safari tangu 29/03/2020? Hakuna ndege ya abiria inaingia TZ kwa kuwa hakuna abiria wanaosafiri tenaTaratibu wameanza kufuata ushauri wa Kamanda Mbowe
Mataga umekuwa mpoleeeNi jambo jema!
kwa kusoma maoni ya watu hapa ni kama wanataka watu wengi wafe kama namna ya kuikomoa serikali badala ya kuhimizana kuchukua tahadhari inawezekana kuna mapungufu ila usipochukua tahadhari wewe na watu wako basi jiandae kuwa kwenye takwimuKwani serikali ndio inayosema corona bado haijaonesha makali? nyie ambao mnaona corona bado haijaonesha makali ndio wa kujibu kwamba hadi leo bado mnasubiri corona ioneshe makali?
Wewe unajua sana kuhusu safari za ndege kuliko mamlaka ya anga?Kuna ndege gani iliyokuwa inakuja na abiria? Mashirika machache yaliyokuwa bado yanaleta ndege zao hapa nchini hayakuwa na abiria na yakasitisitisha safari zao kuja Tanzania, hata wasingetangaza ndege ipi ingekuja?
Hii ni sawa na mfungwa kutangaza "nimeamua kuja gereza hili".
Ni kweli upinzani mpo vizuri kuweka mipango...CCM kwa upande mwingine wapo vizuri kutekeleza mipango ya upinzani.
Wapinzani endeleeni hivyo hivyo kuweka mipango mezani ili CCM iendelee kuitekeleza kila baada ya miaka 5. Hii ndio Tanzania yetu.
Hii waliashauriwa siku nyingi Ila ndio vile ushauri ukitolewa na upande wapili haupewi uzito mpaka Mambo yawe mabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaishadidia lockdownLockdown is looming
Bwashee umeshajilockdown?Mataga umekuwa mpoleee
Hili halihitaji upinzani tutulie time will tell
Damu ya Yesu ni halisi yoyote atakaeiamini hawezi kukumbwa na hayo mafua ya maabara
Mwenye haki siku zote huwa anaishi kwa Imani yake
Damu ya Yesu ni zaidi ya antivirus. Sasa kama hiyo damu inatuhesabia Haki bure wenye dhambi itashindwa nini kuondoa hivyo vi-man made virus??
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo lihimidiwe.
Hatotuacha!!!!
Wamezuga tu ili nao wao waonekane wanachukua hatua na hii ni baada ya ndege kupungua kuingia humu nchini.Hata wasingefunga Ndege zenyewe za kuifunga anga ziko wapi wakati mashirika karibu yote yalishatua Ndege zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hellow natumaini muwazima ndugu wana Jf
Najua Leo ni siku ya pasaka/passover ambayo kwa sisi waebrania inatukumbusha zaidi ya miaka 5047 iliopita katika mwezi mwandamo mwezi wa ABiBu ambapo YHYH alimtuma musa kutukomboa toka mikono ya faraos katili asie mtambua Yusufu
Ambapo iliwapasa babu zetu kuchinja mwanakondoo
Miaka 3000 badae katika beth'lehem ya yudeah alizaliwa yesu wa wakristo ambapo miaka 32 badae katika siku ya pasaka aliuwawa kwa hula za pilato na mafarisayo
Natoka auawe na kufufuka damu yake imeendelea kunena mema kuliko damu ya habili
Ndio maana hata Leo mmeona serikali yenu iliokuwa imeziba masikio juu ya covid19 imepokea kufunguliwa
Yesu amefufuka siku ya kwanza tumefunga anga
Baada ya wiki serikali yenu itawasikiliza
Mbarikiwe na YHYH
Ugonjwa ni wa kwetu sote hata sisi tusiokuwa mashabiki au wafuasi wa chama chochote au mtu yoyote.sasa mbona unatoa povu kama ugonjwa ni wa kwenu?
Tatizo ni kwamba wanapinga kwa sauti na makelele ikifika wakati wa kutekeleza ni KimyaKimya...Hapa watakupinga na kukuita sio mzalendo ila hali ikiwa taiti ndio watatekeleza ushauri wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula kulala kwa shemeji utawajua tumdogomdogo tutaelewana tu, ngoja kwanza corona ionyeshe makali
Marekani wenyewe hawana uwezo wa kufanya mass testing wewe unasema watu wapimwe stendi. Nashauri tuendelee kujielimisha zaidi kuhusu ABC za huu ugonjwa kabla ya kuwa wepesi kulaumu na kutoa mada.Hayo ndo maneno, sasa tupambane ndani kwa ndani, tupime Corona kwenye stand zote za mikoa kabla ya safari kuanza.
Sent using Jamii Forums mobile app