Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Viwanja vyote vinavyojengws Sasa vinafungwa taa na hata vya zamani vyote vimewekwa taaViwanja having taa
Samia anapiga kazi kimya kimya, mradi mmoja baada ya mwingine unamalizika kwa kasi inayotakiwa.
Haboi Wala hapoi,kazi zinaongea 👇👇Samia anapiga kazi kimya kimya, mradi mmoja baada ya mwingine unamalizika kwa kasi inayotakiwa.
Hana mbwembwe wala maneno ya kuwajibu watu anaohisi ni washindani wake.
Nchi inafunguka sana katika awamu hii ya sita. Samia anastahili kupewa maua yake.Haboi Wala hapoi,kazi zinaongea 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C_TZ_yrMt9l/?igsh=M2FjaWczd2RqaGUw
View: https://youtu.be/N9vObcKKLA0?si=dtn53ZURgtG7-0e7
Unaipimaje bila kuonesha walichotekeleza?Serikali iliyowekwa madarakani itapimwa kwa kutekeleza ilani yake ambapo ni mkataba kati ya serikali na wananchi waliyoichagua serikali. Hakuna haja ya kulazimisha wananchi kuisifia serikali kwa kutekeleza makubaliano.
Ifikapo muda wa uchaguzi wananchi watatoa hukumu kama yaliyotekelezwa ni makubaliano au la.