Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Serikali iliyowekwa madarakani itapimwa kwa kutekeleza ilani yake ambapo ni mkataba kati ya serikali na wananchi waliyoichagua serikali. Hakuna haja ya kulazimisha wananchi kuisifia serikali kwa kutekeleza makubaliano.

Ifikapo muda wa uchaguzi wananchi watatoa hukumu kama yaliyotekelezwa ni makubaliano au la.
 
Unaipimaje bila kuonesha walichotekeleza?
 
Back
Top Bottom