Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Unakuja maana ya kiwanja Cha ndege au Bangi zimekutuma upambe...Kwa taarifa yako hata uwanja wa ndege wa Mwanza sio wa kimataifa.!
 
Maccm ni majizi makubwa sana na majinga sana! Jiwe alikuwa anachukia sana Kaskazini kipuuuzi TU, akakataa kupanua uwanja wa Arusha Kisongo ambao Kwa siku una miruko ya ndege 150 anaenda kujenga uwanja wa kimataifa Kule porini Chato, Sasa wanaanika mpunga na mifugo kupumzikia! Jinga na baguzi kubwa sana!
 
Unakuja maana ya kiwanja Cha ndege au Bangi zimekutuma upambe...Kwa taarifa yako hata uwanja wa ndege wa Mwanza sio wa kimataifa.!
Mafala kama nyie sijui Huwa mumejaza nini kichwani.

Mada yangu haihusu hadhi ya viwanja vya ndege Bali Viwanja Kwa ujumla wake vya ngazi tofauti.

Mwisho hata Hilo unalosema nalifahamu na liko kwenye process ya kuwa na hadhi hiyo Kwa mujibu wa mamlaka πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DAVjhiSN8I7/?igsh=MTJ1NmJ4aW5maXQ2Zg==
Jikite kujadili hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…