ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kusahau kwenye maziwaI wish pia wajenge bandari za Meli ...za watalii....
Kigamboni
Kawe
Tanga
Bagamoyo
Lindi
Pangani...
Impact yake itakuwa kubwa
Ni kweli, ila kidhani serikali haijui ni utani 🤣🤣🤣Duu hii inaweza kuwa kamba 😆😆
Nice. Ila nikwambie tu kwa case ya Morogoro, haiwezi kuwa na uwanja wa ndege kwa matumizi ya uchukuzi wa umma kwa maana tayari Morogoro na anga lake ni restricted military airspace.
Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.
Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege vikiweno vifuatavyo;
Kazi ya ujenzi na ukarabati wa viwanja 16 kwenye Mikoa 11 zinaendelea na ambapo zipo katika hatua mbalimbali
- Songwe Airport Mbeya
- Songea Airport Ruvuma
- Chato Airport Geita
- Dodoma Airport
Maandalizi ya kuanza Ujenzi wa viwanja Mikoa ifuatayo yanaendelea na Yako kwenye hatua mbalimbali za utekelezwaji 👇👇
- Msalato International Airport-Dodoma
- Arusha Airport
- Moshi Airport
- Mwanza Airport
- Shinyanga Airport
- Sumbawanga Airport
- Musoma Airport
- Mpanda Airport
- Mtwara Airport
- Kigoma Airport
- Iringa Airport
- Tanga Airport
- Mtemere Airport -Nyerere National park
- Kikoboga Airport Mikumi NP
- Ruaha NP Airport(2 Airports)
- Kahama Airport
Singida
Manyara
Njombe
Simiyu
Lindi
Songwe
Serengeti
View attachment 2988504
My Take
Namba zinajieleza Kila mtu Morogoro Iko reserved Kwa sababu za kiusalama ingawa Ina uwanja wa Kijeshi.
View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1710214957667602608?t=xy3XFtoUUtAKPSF-2XubRA&s=19
View attachment 2931212
Mafala kama nyie sijui Huwa mumejaza nini kichwani.Unakuja maana ya kiwanja Cha ndege au Bangi zimekutuma upambe...Kwa taarifa yako hata uwanja wa ndege wa Mwanza sio wa kimataifa.!