ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #121
Mwanza haina uwanja wa kisasa iondolewe kwenye orodhaPamoja na jitihada zote hizo Mwanza Airport imesahaulika muda mrefu kutokana na pato linalopatikana hapo na sasa danadana zinaendelea kupigwa,utaratibu wa kufanya hafra ya makabidhiano tu kwa TAA bado ni ngumu. Hujuma kwa uwanja huu ni complex.
Umeelewa maana ya mada kwanza?Mwanza haina uwanja wa kisasa iondolewe kwenye orodha
Pole sana we mtu ππUjinga mtupu,izo ndege zinafanya biashara gani yakuisaidia nchi?
Hata kwenye shule Samia anazidi kukiwasha.Pole wewe unaushabikia viwanja vya ndege huku shule nyingi zikiwa hazina vyoo,dawati,maji watoto wanatawazia majani....
Endelea kusifia enjoyment za matajiri wezi wachache huku maskini wengi wakiumiaa...
Safi sana
Ni ukweli...!! Unaijua Ngerengere? Unajua kuwa huwezi pitisha ndege juu ya anga lenye kambi ya jeshi chini?Duu hii inaweza kuwa kamba ππ
Jikite kwenye hoja acha ujinga na utotoZe chawaz a.k.a. Ze kunguniz