Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Pamoja na jitihada zote hizo Mwanza Airport imesahaulika muda mrefu kutokana na pato linalopatikana hapo na sasa danadana zinaendelea kupigwa,utaratibu wa kufanya hafra ya makabidhiano tu kwa TAA bado ni ngumu. Hujuma kwa uwanja huu ni complex.
Mwanza haina uwanja wa kisasa iondolewe kwenye orodha
 
Njombe Airport 👇👇
Screenshot_20240207-084604.jpg
Screenshot_20240207-084622.jpg
 
Pole wewe unaushabikia viwanja vya ndege huku shule nyingi zikiwa hazina vyoo,dawati,maji watoto wanatawazia majani....
Endelea kusifia enjoyment za matajiri wezi wachache huku maskini wengi wakiumiaa...
 
Hata kwenye shule Samia anazidi kukiwasha.

Ni ujinga kudhani kwamba Samia ataimaliza Changamoto zenu zilizoshindikana zaidi ya miaka 60 ndani miaka yake 3.👇👇

View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1755291952159850854?t=8ZaYRZmzw_nZh-yHbLeEEw&s=19
 
Back
Top Bottom