Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Pamoja na yote hayo kitu kinachonihuzunisha ni Arusha na Moshi kukosa stendi ya maana ya mabasi wakati ni mikoa inayooingiza pesa ndefu pale TRA
 
Moshi Kuna ujenzi wa stendi Mpya sijui uliishia wapi.

Arusha ni stori kila siku ila hela Yao walihamishia Kwa Spika Mbeya 😂😂
 
Mkuu hizo stendi ni ahadi tu Kila siku lakini utekelezaji unakuwa wa kusua sua, yaani jiji kama Arusha na ile stendi yake ni aibu tupu, serikali iwaonee huruma
 
Back
Top Bottom