- Thread starter
- #21
Duuhh ndio uchambuzi Huu, au umeandika kama Stori za kiniweni.
Hujiulizi kwann Ziara zao zinafanyika Kwa usiri mkubwa???
Na usichokijua, Hao Ulaya wenyewe pamoja na kutumia usiri .
Bado wanatoa taarifa Kwa urusi kupitia mpango wa Pili, ili urusi kwakutokujia, isije kufanya mashambulizi yakagharim Uhai wa viongozi hao.
Jiwe tu ndani ya kisiwa cha amani kafanya safari lukuki kimya kimya.
Hivi ile kutoa magari yote barabarani masaa kibao, chopper juu hali hamna hata vita nchini wewe waiona je ndugu mchambuzi.
Yote tisa, Putin ameweza kusogea hata kimya kimya hadi japo Belarus?