Anga la Ukraine Yumkini mikononi mwa NATO

Anga la Ukraine Yumkini mikononi mwa NATO

Duuhh ndio uchambuzi Huu, au umeandika kama Stori za kiniweni.

Hujiulizi kwann Ziara zao zinafanyika Kwa usiri mkubwa???

Na usichokijua, Hao Ulaya wenyewe pamoja na kutumia usiri .

Bado wanatoa taarifa Kwa urusi kupitia mpango wa Pili, ili urusi kwakutokujia, isije kufanya mashambulizi yakagharim Uhai wa viongozi hao.
Kwamba wewe wajua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshudiwa ugeni mzito nzito Kyiv Ukraine, katika kipindi hiki cha mgogoro.

Rais wa umoja wa Ulaya amefika Kyiv. Mawaziri wakuu toka Czech, Slovenia, Poland na juzi UK nao wamefika pale wakajivinjari kwa raha zao.

Aungurumapo Simba mcheza nani?

Haitakuwa ajabu kusikia Marine Moja imetimba pale na wanaume wakivinjari mitaani Kyiv kama kwao.

Beberu hajawahi kufanya ajizi na usalama wake kama tulivyo sisi magwiji wa nyungu. Popote aendako yeye si habari mpya kumsikia akichukua jukumu lote la ulinzi likiwamo la anga ugenini.

Ilikuwa hivyo na Obama Dar es salaam. Ilikuwa nusu hivyo na Ghadafi ugenini.

View attachment 2185031

Aupate wapi utulivu wa kuhutubia mabunge duniani Zelensky, kwenye hatari ya mvua ya makombora asiyokuwa na udhibiti nayo?

Yumkini ndicho kilichomfurusha Mrusi hadi aliko sasa.

Kukiitwa, "kukiona cha mtema kuni!"
Minsky Agreement 1992 uheshimiwe, kwanini baada ya Miaka 30 ya huo mkataba baada ya Soviet union kuvunjika yanatokea?
 
Minsky Agreement of 1992, Ukraine was supposed to be a neutral country and it's millitary defence was supposed to depend it from Russia
Kwenye dunia hii ya leo nchi kutegemea ulinzi wa nchi nyingine ni kitu kimepitwa na wakati. Neutrality inaeleweka, ila nayo ina shida, yaani mchi moja kajilimbikizia masilaha na ana washirika wake ila anakuambia wewe huna ruksa ya kufanya vile, nadhani huu ni uonevu tu.
 
Umeshudiwa ugeni mzito nzito Kyiv Ukraine, katika kipindi hiki cha mgogoro.

Rais wa umoja wa Ulaya amefika Kyiv. Mawaziri wakuu toka Czech, Slovenia, Poland na juzi UK nao wamefika pale wakajivinjari kwa raha zao.

Aungurumapo Simba mcheza nani?

Haitakuwa ajabu kusikia Marine Moja imetimba pale na wanaume wakivinjari mitaani Kyiv kama kwao.

Beberu hajawahi kufanya ajizi na usalama wake kama tulivyo sisi magwiji wa nyungu. Popote aendako yeye si habari mpya kumsikia akichukua jukumu lote la ulinzi likiwamo la anga ugenini.

Ilikuwa hivyo na Obama Dar es salaam. Ilikuwa nusu hivyo na Ghadafi ugenini.

View attachment 2185031

Aupate wapi utulivu wa kuhutubia mabunge duniani Zelensky, kwenye hatari ya mvua ya makombora asiyokuwa na udhibiti nayo?

Yumkini ndicho kilichomfurusha Mrusi hadi aliko sasa.

Kukiitwa, "kukiona cha mtema kuni!"
Ukweli mchungu ambao wengine hatupendi kuusikia
 
Back
Top Bottom