Anga la Ukraine Yumkini mikononi mwa NATO


Jiwe tu ndani ya kisiwa cha amani kafanya safari lukuki kimya kimya.

Hivi ile kutoa magari yote barabarani masaa kibao, chopper juu hali hamna hata vita nchini wewe waiona je ndugu mchambuzi.

Yote tisa, Putin ameweza kusogea hata kimya kimya hadi japo Belarus?
 

Kwani hujui kwa nini Vita vinapiganiwa Ukraine? Kwani Mrusi ameitwa Ukraine?

Ukraine sasa iko katika vita kamili vya kujikomboa

Au wewe unataka vita hii ikapiganiwe wapi? Kwani mvamizi kavamia wapi pengine ndugu?
 
Hakuna vita bila plan
 
Urusi anakuwa amepewa taarifa mapema juu ya wakubwa hao wanaokwenda Ukrain. Mambo hayafanyiki kienyeji kama unavyodhani.
Labda Mrusi wa Buza.

Wa Moscow ataaminiwa na nani anayeweza kuvamia nchi baada kuapa mara elfu kidogo kuwa hakuwa na mpango huo?

Kumbuka sasa hivi yuko mashariki peke yake. Kapoteza watu, vifaa hadi majenerali.

Kwa jina sahihi kapewa kipigo cha mbwa koko!
 
Sawa amiri jeshi wa ukraine
 
Mzee Putin anaogopa hata kivuli chake.
 
Ila Putin ni Baba Lao ayseee.
Marekani na Mataifa yooooote ya Ulaya na Asia wanakigugumizi dhidi ya Nchi yae na Jamaaa yuko straight hapindishi ni mwendo wa bakora tu mpaka Ukuwadi wa Ukraine ukome. Marekani ndio wajue wababe wapo wengi tu siyo peke yao kuna Kiduku na Korea, Kuna Marekani na Baba Lao Putin na Urusi
 

Wale wanawake, watoto na wengine wasio na hatia wanaokufa kule bure, wanakufikirisha kwa lolote ndugu?
 
LOOoooh, uandishi mara nyingi ni mgumu sana, hasa unapokuwa uandishi wa ki-nazi!

Sasa hoja hapa hasa ni nini?
 
Wale wanawake, watoto na wengine wasio na hatia wanaokufa kule bure, wanakufikirisha kwa lolote ndugu?
Marekani aliua Afigastan, Libya nk nk mbona hatukuona mkileta ushabiki. Hao watoto wanauwawa kwa Kiburi cha Rais wao, Rais wao angeona Uhai wa hao watoto una faida angemuita Mrus Mezan akubali yaishe, lkn kwakuwa anaona Kutumika na Marekani ni heri kuliko Uhai wa hao watoto mimi ni Nani niwe na Uchungu. Rais wao abebe lawama
 

Kuuwa ni kuuwa tu mkuu. Hakuna mwenye akili timamu anayekubaliana na uuwaji au udhwalimu kwa ujumla.

Kwamba Marekani waliuwa Afghanistan, Libya - tulilaani kama tunavyomlaani huyu sasa. Yameangaziwa sana hayo:

Wapenda haki watailaani Urusi kwa uvamizi wake Ukraine

Tutaendelea wote kwa wakati watakaojaribu hilo awe Kingai au Amini.

Wewe hudhani hivyo mkuu?

Kwamba hujali vifo vya watu au watoto? Yumkini hata Al-Shabab anajali!
 
Mbona ziara ya Johnson haikutangazwa mapema kabla hajafika huko! Wanakwenda kwa kuvizia kama wachawi.
Mrusi wa Buza usichokijua NATO wataingilia kati muda siyo mrefu kumfurusha Putin,walikuwa wanamchora kwa mbali kuona pumzi yake wameshamuona kumbe msukule mwanzo ilikuwa nguvu ya soda.

Wanaenda kuzaa nae believe me!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…