Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Habari zenu wakuu. Ni siku tatu sasa sipo hewani si kwamba nimewasahau ila nilipotewa na simu yangu smartphone ambayo ndiyo natumia kuandikia simulizi na kutuma pia.

Kwa siku tatu sikuwa whatsapp (kwa wale wenye namba yangu wanajua), jamii forum wala insta.

Nashukuru leo nimepata simu ya kujishkiza hivyo naanzq kuandika upya. Imebidi pia niingie huku ili nijue niliishia wapi sehemu iliyopita. Nashukuru kwa uvumilivu
 
pole sana mkuu steve
 
Nina iman watu tutapona maana takriban 3days now hatujapata antidote so watu wako hoi kam Jona
 
Habari zenu wakuu. Ni siku tatu sasa sipo hewani si kwamba nimewasahau ila nilipotewa na simu yangu smartphone ambayo ndiyo natumia kuandikia simulizi na kutuma pia.

Kwa siku tatu sikuwa whatsapp (kwa wale wenye namba yangu wanajua), jamii forum wala insta.

Nashukuru leo nimepata simu ya kujishkiza hivyo naanzq kuandika upya. Imebidi pia niingie huku ili nijue niliishia wapi sehemu iliyopita. Nashukuru kwa uvumilivu
Pole sana tivu
 
Pole Sana kamanda Steve
 
Uwe unafikilia vya kuongea sio unaropokwa ningekuwa nakuja kulia lia huku mbona we story yako arosto mpaka leo na we ulitupa tusome
Mkwe anazingua huyo!!! Yeye anaona kwa wenzake kwake hapaoni ama kweli nyani haoni kundule, mtu katuwekea viporo mpaka vinaoza anakuja kuanzisha ngonjera hapa
 
Back
Top Bottom