Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Duh! Kumbe nmechelewaKwakuwa simulizi ilishaanza kutumwa, basi mhusika atatumiwa sehemu zilizopita kisha aendelee na wenzake kundini ama binafsi kutokana na uchaguzi wake. Kwa wateja wangu wengine huwafanyia 5000 simuliz nzima, ila kwa wana JF hulipia alfu tatu kwa simulizi nzima ambayo inshaallah Mungu akijaalia tunaimaliza juma hili yote.