Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Aah...nitasahau mengine lakini si weweNimepumzika kwanza. Naona umekumbuka kisima cha zamani.
hujui tu ni vipi unanipoza nafsi zenye maumivu kwa utunzi wako mzuri!
Hongera unajua ...
Haya nikutakie mapumziko mema japo kwa shingo upande!
Rafiki yangu mwema!