Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Duh! Kumbe nmechelewaKwakuwa simulizi ilishaanza kutumwa, basi mhusika atatumiwa sehemu zilizopita kisha aendelee na wenzake kundini ama binafsi kutokana na uchaguzi wake. Kwa wateja wangu wengine huwafanyia 5000 simuliz nzima, ila kwa wana JF hulipia alfu tatu kwa simulizi nzima ambayo inshaallah Mungu akijaalia tunaimaliza juma hili yote.
Situmi popote pale.Ambao hatuna buku 3 tunaweza isubiri wapi wakishamaliza waliotoa?
Kwani imeshaanza mbona hujatutangazia[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kwakuwa simulizi ilishaanza kutumwa, basi mhusika atatumiwa sehemu zilizopita kisha aendelee na wenzake kundini ama binafsi kutokana na uchaguzi wake. Kwa wateja wangu wengine huwafanyia 5000 simuliz nzima, ila kwa wana JF hulipia alfu tatu kwa simulizi nzima ambayo inshaallah Mungu akijaalia tunaimaliza juma hili yote.
Kwani imeshaanza mbona hujatutangazia[emoji15] [emoji15] Tumosa mama ningesemelea wapi zaidi ya hapa? Tayari ipo whatsapp.
Namba yangu ya whatsapp ni 0685 758 123, ya kutuma hiyo alfu tatu ni voda 0745 080 810Ooooh em weka ka namba bac
Kipo tayari kaka? Nitume pesa?Mtu atakavyo.
Karibu mkuu.Kipo tayari kaka? Nitume pesa?
Na wewe uko kama sisi..?Unishitue na mimi best
Mimi nimetuma bado sijaunganishwa kwenye hiyo hadidhiKaribu mkuu.
Naomba unifuate whatsappMimi nimetuma bado sijaunganishwa kwenye hiyo hadidhi
Hiyo ndo hali halisi ndani ya serikali zetuHivi tukiacha kuwa hii ni simulizi, kuna ukweli wowote kuwa hii ni hali halisi???
Tevie..una hadithi ipi nyengine hapa Jf nije??
Nimepumzika kwanza. Naona umekumbuka kisima cha zamani.Tevie..una hadithi ipi nyengine hapa Jf nije??