Aah...nitasahau mengine lakini si weweNimepumzika kwanza. Naona umekumbuka kisima cha zamani.
Nitajitahidi.Aah...nitasahau mengine lakini si wewe
hujui tu ni vipi unanipoza nafsi zenye maumivu kwa utunzi wako mzuri!
Hongera unajua ...
Haya nikutakie mapumziko mema japo kwa shingo upande!
Rafiki yangu mwema!
Karibu...Nitajitahidi.