Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Hii stori tamu ila tu nilikosea kuanza kuisoma story ya Peniela kabla ya hii. Hivyo nilivyoisoma nimeona bonge la gap. Yule mtunzi wa Peniela alitulia sana kiasi kwamba ukisoma stori yake ya ujasusi basi zingine zote unaona kama zinapwaya
 
Ahsante kwa maoni. Nakuja na nyingine mkuu, pengine itakubalisha mawazo. Inaitwa TUKIBAKI HAI, TUTASIMULIA.
 
Nakumbuka miaka takribani 6 iliyopita nilikuwa mdau mkubwa wa huu uzi lakini sasa hivi nishakuwa mvivu wa kusoma simulizi
 
Aise
 
Q
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…