Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Mkuu big up sana tena saana ila nimekufuatilia kimya kimya kuona kama nitapata mrejesho wa gharama za hatimiliki kama mdau mmoja alivyoshauri naona bado hujalighurikia, kuna majitu majizi ya kazi za watu na kujipatia umaarufu fake kama Dr... japo inaweza kuwa fursa pia.

Napenda za kizungu hasa crime novel lakini hizi zako zinasisimua sana, niweke wazi mimi ni fan wako
 
Nimekimbiza mwizi kimya kimya mpaka nimemkamata.
Mkuu nasubiri next episodes
 
Angaiko la washenzi vipi? [emoji12][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850] [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nashukuru sana Peter. Nitafika huko ofisini kwako siku ya Ijumaa. Lazima niwape mrejesho kaka na nashukuru kwa kuwa shabiki yangu! Much bless!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…