Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Nashukuru sana mkuu wangu. Bila shaka kuona si tabu, ila yahitaji pia na uwekezaji wa maana. Kazi kama hii ukiwaa bongo movie unaweza ukajikuta unaikana kwa kusema hii ndo nini tena?

Bado hawajajiandaa ki budget na hata kiteknolojia.
 
Stivu nmesoma hii riwaya, km wabongo 2ngeweza kukutumia ktk uandaaj wa filam sdhan km tungetzama seriez za kikolea au kihnd huko, mazingra ya hadithi n ya kibongo hayanashda sana, wahuska hawajatembea nchi za nje inawezekana, ila wee muv zetu kila uchao usalit wa mapenz, yatma kunyanyaswa, cjui vichaa kutembea majaan.... bongo muvi wabadlike aisee. Big up broo we ni noumer.
 
Nakushukuru mkuu. I am so humbled. [emoji120] [emoji120]
 



Mosi, akili yako iwe mbele ya adui kwa hatua tatu. Anachofikiri, wewe uwe tayari umeshakimaliza. Umekihitimisha na kutoa maamuzi kabla hata hujanyanyuka.

Na Pili, uwe mwepesi wa kutazama, kushika, kunyambua na kuchambua. Ukishaketi, basi hakikisha umesoma mazingira yanayokuzunguka. Unajua wanaume wapo wangapi, wanawake wapo wangapi. Wamevalia nini, wanateta mazingirani gani. Kuna milango mingapi, na hata madirisha.

Maana huwezi jua utavihitaji muda gani mbeleni.

Kumbuka, usitie kinywani kinywaji chochote ambacho hujakifungua wewe. Na pale utakapoenda msalani, ukirejea usikimeze, mwagia chini.

Lakini zaidi, usimpe mgongo adui yako. Na wala usipepesee jicho kando yake.





ANGA LA WASHENZI : - Leo saa tatu usiku.
 
Chaliii steve....kazi nzuri sana kaka.....endelea kusambaza sumu tunakuelewa sana
 
Niko nasubir
 
Hapo sasa hapo ndo penyewe kama kawaida nafasi yangu ya kwanza eneo la tukio dereva SteveMollel washa moto brother
 
[emoji39] [emoji39] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Shukrani sana kwako mkuu
 
Woyooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…