SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
- #921
Nashukuru sana mkuu wangu. Bila shaka kuona si tabu, ila yahitaji pia na uwekezaji wa maana. Kazi kama hii ukiwaa bongo movie unaweza ukajikuta unaikana kwa kusema hii ndo nini tena?Kwa kweli mkuu
Najaribu kuwaza hivi hawa producers wa hizi so called bongo movies hawaoni vitu kama hv
Naamini ingekuwa mbele washakutafuta kukujaza mshiko ili watengeneze movie kama vile inferno na da vinci code za Dan Brown.
Kazi imesimama sana mkuu ,big up
Bado hawajajiandaa ki budget na hata kiteknolojia.