Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

kama zile mbinu za delila za kumuita Steve hazikusaidia, ngoja nione haya mateseko ya 'Ilankunda1234'. labda yatasaidia. pole mkuu 'Ilankunda1234' vumilia usije ukakonda bure.
 
Naona maumivu ya njia nyembamba yanaanza taratiiib
 
kama zile mbinu za delila za kumuita Steve hazikusaidia, ngoja nione haya mateseko ya 'Ilankunda1234'. labda yatasaidia. pole mkuu 'Ilankunda1234' vumilia usije ukakonda bure.
Mkuu kuna vitu havivumiliki kama:-
1. Kujisaidia
2. Kukojoa
3. Kupiga miayoo
4. Kiu
5. Njaa
6. Arosto ya stori za stivu[emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
kwa ukimya huu wa story si ajabu tutakuja kusikia baadae kuwa Steve, Jona na Marwa wote walitekwa kwa kosa la kukutwa na michoro isiyowahusu. labda waje Miranda na Kinoo kuwaokoa
 
Steve Basi tunaomba cc wadau wako utengeneze group ya WhatsApp ambayo tutakuwa tuna Fanya mchakato wa kamchango steeeeeeeeeeev.
 
Steve Basi tunaomba cc wadau wako utengeneze group ya WhatsApp ambayo tutakuwa tuna Fanya mchakato wa kamchango steeeeeeeeeeev.
Mkuu ntaishusha hapa mpaka mwisho. Ila kama ukiona 'wakereketwa' na kamwendelezo kwa haraka. Njoo kwa +255 685 758 123 wasap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…