Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

View attachment 636255


Mosi, akili yako iwe mbele ya adui kwa hatua tatu. Anachofikiri, wewe uwe tayari umeshakimaliza. Umekihitimisha na kutoa maamuzi kabla hata hujanyanyuka.

Na Pili, uwe mwepesi wa kutazama, kushika, kunyambua na kuchambua. Ukishaketi, basi hakikisha umesoma mazingira yanayokuzunguka. Unajua wanaume wapo wangapi, wanawake wapo wangapi. Wamevalia nini, wanateta mazingirani gani. Kuna milango mingapi, na hata madirisha.

Maana huwezi jua utavihitaji muda gani mbeleni.

Kumbuka, usitie kinywani kinywaji chochote ambacho hujakifungua wewe. Na pale utakapoenda msalani, ukirejea usikimeze, mwagia chini.

Lakini zaidi, usimpe mgongo adui yako. Na wala usipepesee jicho kando yake.





ANGA LA WASHENZI : - Leo saa tatu usiku.
Mkuu kama itakupendeza hiyo saa tatu usiku tushushie episode tano(5) tafadhari.
 
Back
Top Bottom