Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Steve mdogo wangu, hiki unachokifanya kinakujengea heshima kubwa sana na kinakuweka katika kevels za juu sana? Hongera sana.. Kwa kweli unaweza na kipaji unacho. Kitendo cha kuahidi muda flan utatupia mzigo na kweli unatupia...!!!! We we in Khabari nyingine kabisa.. Tupo tunaofuatilia kimya2 wengi tu... Usibadilike ukawa kama watunzi wengine wababaishaji, nisiseme sana.. Keep it up..
Nakushukuru sana brother.
 
Mtanitoa jaman roho! Mpaka na PM.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimegundua kitu mkuu

Hii story inasababisha arosto isioisha yaani kila unavyozidi kuisoma ndivyo unavyotamani isiishe iendelee tuuuu....

Nakuomba utufanyie km jana saa 4 utuwekee kengine

Plz....mkuu i'm on u'r kneel[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom