Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Unaendeleaje
Acha ule mtutu ulomwelekea bwn sheng usoni la hasha ni pale alipopandisha upeo wake usawa wa alieishika ile bunduki loh jona marehem mtarajiwa,bwn sheng akataka kutia neno ila kabla akaona kidole kikisogea kwenye ile silaha ilomwelekea hakutia neno tena.....
[emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji125]
 
mi ndo niko season 1 hadi raha ... nabandika nabandua......ka stori murua haka.
 
Back
Top Bottom