SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
- #3,861
Mwezi wa tano tarehe moja, nitaanza kutuma simulizi hii whatsapp kwa ada ya alfu mbili tu. na kwa wale watakaokuwa wanaihitaji yote, nitawatumia kwa shilingi alfu tatu tu. Namba yangu ya whatsapp ni 0685 758 123. Najitahidi kuiandika kwa sasa ili tusije sumbuana kwenye kutumiana, sitaki iwe inakawia hata kidogo, na mpaka sasa Episode kumi zipo kwa 'stock'. Karibuni.