Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Mwezi wa tano tarehe moja, nitaanza kutuma simulizi hii whatsapp kwa ada ya alfu mbili tu. na kwa wale watakaokuwa wanaihitaji yote, nitawatumia kwa shilingi alfu tatu tu. Namba yangu ya whatsapp ni 0685 758 123. Najitahidi kuiandika kwa sasa ili tusije sumbuana kwenye kutumiana, sitaki iwe inakawia hata kidogo, na mpaka sasa Episode kumi zipo kwa 'stock'. Karibuni.
 
Attachments

  • textgram_1522685505.png
    textgram_1522685505.png
    187.3 KB · Views: 161
Mwezi wa tano tarehe moja, nitaanza kutuma simulizi hii whatsapp kwa ada ya alfu mbili tu. na kwa wale watakaokuwa wanaihitaji yote, nitawatumia kwa shilingi alfu tatu tu. Namba yangu ya whatsapp ni 0685 758 123. Najitahidi kuiandika kwa sasa ili tusije sumbuana kwenye kutumiana, sitaki iwe inakawia hata kidogo, na mpaka sasa Episode kumi zipo kwa 'stock'. Karibuni.
Mkuu ni ya kijajusi ndani yake?
 
Naipitia hadi sasa nataka nione kama nitaweza kupita kule alikotaka kupita japo inanipa shida jinsi ya kuuendeleza usaliti kwa kila mmoja ngoja niimalize kabisa afu nitaiweka epsod moja tu kabla hatujawatafuta ndugu zake waweke baraka zao
Mkuu kule kwako Salama lakini nakunyapia nyapia sana
 
Naipitia hadi sasa nataka nione kama nitaweza kupita kule alikotaka kupita japo inanipa shida jinsi ya kuuendeleza usaliti kwa kila mmoja ngoja niimalize kabisa afu nitaiweka epsod moja tu kabla hatujawatafuta ndugu zake waweke baraka zao
Daaa natamani kuongea ila basi, Mkuu kule kwingine wanaendeleaje?wasalimu wale wa siku kabla ya leo
 
Back
Top Bottom