Anga zimefunguliwa, lakini wenye ndege zao wamegoma kuzileta nchini!

Vipi kwani unateseka na hoja yangu yoyote au na chochote ninacho kijua ambacho hukijui? Usiumie mkuu kwani kuna vitu vingi tu unavijua mimi sivijui.
Hiyo insha 'essay ' ni aina yangu ya uandishi vumilia tu au puuzia post zangu.

Just ignore my posts and you won't get hurt, don't take everything too personal!
 
Kwa hiyo tuchukulie huu ushuhuda ulioweka kwenye mistari hiyo kwamba ndio ushahidi wa mashirika kuleta ndege zao zikiwa zimejaa watalii Tanzania?
Mkuu wangu kuna mahali nimesema kitu kama hiki ulichoandika?
Wapi nimesema huo ni ushahidi wa ndege kujaa watalii Tanzania?

Ningependa kuamini hapo umefanya makosa ya kibinadamu ya kawaida tu kuniwekea maneno kiuhalisia haukukusudia hivyo.
 
Sawa umesikika maoni yako, kuna jingine?
Au bado unataka kuporomosha kashifa na matusi? Kama bado endelea hadi hasira zako ziishe uje tujadili vizuri.
Wapo watu naona wanafurahia sana kujitekenya na kucheka. Wanacheka kweli. Kama mazuzu vile. Haya. Endeleeni kujidanganya.
 
Childish
 
Titicomb
Kama mtanzania mzalendo ninayeipenda nchi yangu ipige hatua ya maendeleo, nitashukuru kama nchi yetu itakuwa imeshukiwa na "Neema" kutoka kwa Mwanyezi Mungu, kiasi kikubwa hivyo!
Ulichokiandika na ulivyo ni tofauti. Wewe ni mtu unayeiombea mabaya serikali inayoongozwa na JPM
 
Mheshimiwa alisema Ndege zimejaa mpaka August ...nenda eapot ukaone midege inavyomiminika [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kenya zinaenda? Au south afrika?
 
Ulichokiandika na ulivyo ni tofauti. Wewe ni mtu unayeiombea mabaya serikali inayoongozwa na JPM
kolola
Ni kigezo gani ulichokitumia hadi "ku-conclude" kuwa hayo niliyoyasema hayajatoka ndani ya moyo wangu??
 
Hivi wewe unajielewa kweli? Hapo rais kapiga fix ipi? Yeye kafungua anga lake kwa anaetaka kuja aje na asiyetaka asije, hujaona kuna shirika la ndege kubwa duniani limetangaza kuanza kuja tarehe 16?
 
Hivi wewe unajielewa kweli? Hapo rais kapiga fix ipi? Yeye kafungua anga lake kwa anaetaka kuja aje na asiyetaka asije, hujaona kuna shirika la ndege kubwa duniani limetangaza kuanza kuja tarehe 16?
nguvu
Hivi hujamsikia Mheshimiwa Rais akisema kuwa ndege zote ziko "fully booked" hadi mwezi wa 8?

Je unapotembelea viwanja vya ndege, unaona hali ya viwanja hivyo inashabihiana na tambo hizo za Rais?
 
Ukweli ni utamaduni wa mtanzania, heshima kwako
 
Mkuu wangu kuna mahali nimesema kitu kama hiki ulichoandika?
Wapi nimesema huo ni ushahidi wa ndege kujaa watalii Tanzania?

Ningependa kuamini hapo umefanya makosa ya kibinadamu ya kawaida tu kuniwekea maneno kiuhalisia haukukusudia hivyo.
Kiuhalisia nilitaka kukataa ushuhuda ulioutoa kuonyesha watalii wanakuja Tanzania kwa wingi kwa kutumia mifano uliyoiwasilisha kuaminisha watu juu ya swala hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…